CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Adhabu ya kifoni mauaji ya mwanadamu yanayotekelezwa na serikalibaada ya mahakamaimetoa hukumu ya mauti kulingana na sheria ya nchi. Kwa kawaida adhabu hii inatolewa kwa jinai nzito sana.
Sababu za kumhukumia mtu afe
Zamani ilikuwa adhabu ya kawaida katika nchi nyingi kwa mauaji hasa, lakini pia kwa makosa kama unajisi, biashara ya madawa ya kulevya, ufisadi. Kihistoria hata aina za upinzani dhidi ya mtawala wa nchi ziliadhibiwa kwa adhabu ya mauti mara nyingi iliitwa kusaliti taifa au kuhatarisha usalama wa nchi. Kuna pia nchi ambako kuondoka katika dini rasmi iliadhibiwa hivyo.
Namna ya kutekeleza adhabu ya kifo:
*.Kupiga risasi
*.Sindano ya sumu
*.Kunyonga
*.Kukata kichwa
*.Kiti cha umeme
*.Kurusha mawe
Nchi zilizotekeleza hukuma ya kifo mara nyingi
Mwaka 2005 watu waliuawa na serikali baada ya hukumiwa katika nchi zifuatazo:
1. China(watu 1,770)
2. Uajemi(94)
3. Saudi Arabia(86)
4. Marekani(60)
5. Pakistan(31)
6. Yemen(24)
7. Vietnam(21)
8. Jordan(11)
9. Mongolia(8)
http://sw.m.wikipedia.org/wiki/Adhabu