Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Natafuta Smart TV

i Iwe LG/TCL/Samsung/Sony

ii 65 inch na kuendelea

Mwenye nayo aje inbox na bei
 
Nauza Nikai Tv, 32inches, Ipo vizuri nime inunua juzi tarehe 22, October ila nimepata emergence natakia kusafiri na hela inaitajika ..

bei 270,000/=
Niko Salasala mbuyuni..
 
Hisense wazuri sana, wana picha safi mnooo, unapata tv nzuri kwa bei poa kabisa. Hawa Samsung, LG siku hizi brand inawabeba lakini kwa ubora wa picha hawana tofauti au wanazidiwa na Hisense
 
Nimefurahia sana hii elimu. Asante sana metal hii posts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…