Fahamu jinsi ya kuchagua TV nzuri itakayokufaa kabla hujanunua

Kabla sijafanya maamuzi niliutembelea huu uzi, nikapata uelewa...Chap nikaingia dukani kwa mbwembwe kama zote (yaani kama mjuvi wa technolojia[emoji28]) na kuvuta samsung smart TV 50" 4K.
Shukrani Perimeter
Vipi matokeo ya uchaguzi wako?tv bado iko fit?na uliwezaje kutofautisha org na copy?kwani Kuna msela mmoja alimambia copy Nchi 50 ataniuzia kwa 750 na org ataniuzia kwa ml 1na laki 900,naitaji kujua namna ya kuizikagua,kujua copy na org
 
Mada nzuri sana.Vipi tv za Sony zinazotumia adaptor nasikia zinakuwa na matatizo sana.
 
Mkuu Perimeter, Nahitaji 43 Inch Flat screen, nichukue ipi kati ya Hisense, Boss na Mr X ??, kwani ndizo ziko hapa nilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…