Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2


Karibu Mkuu km lipo tushushie ingawa hii ilikuwa mwaka 2015 version ya 1.21.x na leo tupo 1.36 kwenda 1.37
 
Mkuu hii Zip nimeifungua nikaitupia My Document - ETS-Mods imeenda kukataa ikafika mafaili ma3 nakosea wapi kwenda Indonesia?
Nenda kwenye Map copy ICRF Reworked Map For 1.36.scs
and paste kule kwenye mod file la ets2 kazi kwisha achana na Profile

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Nenda kwenye Map copy ICRF Reworked Map For 1.36.scs
and paste kule kwenye mod file la ets2 kazi kwisha achana na Profile
Mkuu tatizo huenda likawa hiyo Map ni ya 1.36 ndio maana mm inanigomea maana bado natumia 1.35
au sababu itakuwa ni ipi maana ramani inakuja ya Ulaya km kawaida
au niendelee tu
 
Mkuu tatizo huenda likawa hiyo Map ni ya 1.36 ndio maana mm inanigomea maana bado natumia 1.35
au sababu itakuwa ni ipi maana ramani inakuja ya Ulaya km kawaida
au niendelee tu
Ah basi ni version uliyonayo.... Panda mpaka 1.36 tatizo lako litakuwa sloved
 
Laki 3.5 hadi 6

Gamestoptz wanazo waweza kuwacheki instagram.
Kuna mwana alikuwa anataka niuzia 100 sema dah nilikuwa nimechoka kishezi hiyo siku siku nyingne nimemfata kakataa kuniuzia na yeye anadai hiyo siku alikuwa na shida kishezi yaan alijuwa anauza afanyaje tu yaan akadai hiyo siku hata ningempa hata 50 angekubali
Sema nini mademu sio watu poa aisee unaweza uza hata Kipc chako kisa demu story alonipa jamaa 7bu ya kuuza ilinichekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viumbe hao sio wakucheka nayo

Sent from my SM-G532F using Tapatalk
 
Hapo mkuu shida ya hyo map hata mim mara ya kwanza iligoma..anatakiwa aextract pemben kisha ndan atapata scs file ndio anaiweka kweny mod kule...aachane na ku extract direct kweny folder la mod
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewaelewa ila kwa muda huu ile Setup ya 1.36 ili iingie imenibidi niliondoe Game lote la version ya 1.35
sasa kurudi uwanjani siwezi kwani sina ETS yoyote mpaka 1.36 ikubali nio nahangaika hapo
hiyo Mod ya Peru Death nilishaicheza yote labda nikiingia 1.36 nitairudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…