Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
mwamba kanikumbusha GTA san andrea na zile cheat zake 😂 😂 😂 ilikuwa ni hatari
mwamba kanikumbusha GTA san andrea na zile cheat zake [emoji23] [emoji23] [emoji23] ilikuwa ni hatari
ninyi mnazungumzia mwezini kupeleka madude 1.36 kwenda 1.37
wakati sisi tupo bongo na 1.35 (mm nimepiga chini nimeanza kudownload lile la Torrent la 7.1GB la 1.36
speed ni ndogo nashusha na Airtel tangua jana jioni hata nusu asubuhi hii haijafika
Terrent nzito naona antivirus inapambana
Nmedisable anti virus lakn bado linagoma yanHilo mkuu mim situmii..natumia la gb 3
Vp huna antivirus kweny pc yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
TULIA KIONGOZI SUBILI UPDATE [1.37] NAZANI HUTOACHWA NYUMANmedisable anti virus lakn bado linagoma yan
Sawa mkuu ngoja tuisubiri tu.TULIA KIONGOZI TUSUBILI UPDATE [1.37] NAZANI HUTOACHWA NYUMA
Ninainstall ETS2 lakini naona zaidi ya masaa 5 saiz bado linainstall tu. Shida nn wadau au window 8 zinasumbua? Msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmedisable anti virus lakn bado linagoma yan
CPU?
Sawa mkuu ngoja nifanye hvyoHebu kaamgalie public documents kule ukafute steal folder kisha run upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Limekubali mkuu nashukuru now naenjoyHebu kaangalie public documents kule ukafute steam folder kisha run upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaribia mkuu tupo pamoja sana
Duuh washatoa tutadownload tuDownload Euro Truck Simulator 2 (v1.37.1.0s + 71 DLCs, MULTi41) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x
Haya wanao taka kutangulia kufungua vioo [emoji3]1.37 mzgo huo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
haya sasa ndo naanzaDownload Euro Truck Simulator 2 (v1.37.1.0s + 71 DLCs, MULTi41) [FitGirl Repack] Torrent | 1337x
Haya wanao taka kutangulia kufungua vioo [emoji3]1.37 mzgo huo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu mkuu hivi pad za x box au ps4 naweza nikaconnent ili nitumie kuchezea game la mpira au haiwezekani mkuu?
na nikimaliza tu nampakua na goba ili twende sawa.haya sasa ndo naanza