Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

1.37
 

Attachments

  • ets2_20200511_064227_00.png
    1.1 MB · Views: 2
  • ets2_20200511_063718_00.png
    1.4 MB · Views: 3
Wakuu hivi kuna tofauti gan kati ya ili euro truck2 tunalocheza na american truck simulator?
 
Wakuu hivi kuna tofauti gan kati ya ili euro truck2 tunalocheza na american truck simulator?
yote ni EURO TRUCK anbapo zamani walioanzisha au kutengeneza walianza na game lililoitwa GOING WEST km sikose, walipoadvance ndipo wakaanza kuyauza wakitoa na Keys zake, kwa hiyo ulitakiwa ukannunue DVD
hao hao ndio wakaongezea american Truck Italy France Russiank
kwa Advance zaidi wamejitokeza wa Brazil, Australia Hondulandia nk
na ukitazama kwa makini ramani nyingi ni za EURO TRUCK hata vituo vya mafuta, garege na vya kupumzika
naona mwanga umetosha, ngoja wataalm watakufafanulia zaidi
 
Hii setting kwangu sina
inategemea upo version gani
kwani kwa magame ya hivi karibuni kila uanzapo ni lazima itafunguka kwenye desktop yako tafuta New Profile kwenye jedwali hapo chini kushoto anza upya kupanga majina, kampuni uncheck steam(ondoa tik)
halafu nenda juu kushoto utapelekwa Mod kachague Puno-Peru rudi bonyeza Play Module Puno_Peru
activate utaanza game
 
Labda ni version ya zamani sana..maana nimehangaika sana kuweka mod ila sehem ya kuactivate siioni
 
Nashukuru mkuu.
 
kwa hili niamini tu mkuu
Mkuu wala usihofu unaaminika, nawashukuru magwiji wote humu EURO TRUCK SIMULATOR -2 hatimaye nimeinstall Version 1.37 leo, na kwa kweli walionishauri nitumie mtandao wa HALOTEL ni kweli unashusha ajabu. sasa kule nimekuta mambo ni yaleyale ila ni more advanced kwenye Graphic ipo clear sana mpaka game ina stuck mara kwa mara.
Naomba ushauri nataka niliiweke pembeni hii Set-up nirudi nyuma Version ya 1.36 ili niende Russia au hata huku nitacheza
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ russia ninasikia nishida ni baraa mi mwenyewe hapa nilikuwa nina huo mpango but IDM INAZINGUA.
 
Njoo russia babu kumenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…