Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hii tushaipiga juz kati..ila naona kuna update 2.0 imetoka
 
hii kitu ilinitoa jasho 😖 😖 siku nzima na siku fauli
 
Maelezo yanajitosheleza
 
Tayari nipo.. Nipe user name yako huko ni kuadd kama friend
alafu ili tukutane online kwa mgeni yeyote yule ni lazima aendesha truck yake zaidi ya masaa mawili ndo aunnganishwe murtiplayer fanya hivi chap utanikuta kwenye garage yangu mjini kiel
 
alafu ili tukutane online kwa mgeni yeyote yule ni lazima aendesha truck yake zaidi ya masaa mawili ndo aunnganishwe murtiplayer fanya hivi chap utanikuta kwenye garage yangu mjini kiel
Mi tayari nipo na truckersmp napiga mitaa tu.. Ila nipo maeneo ya austria huko
 
Lazma nije...yan hapa kila mda naingia steam kutest[emoji16]
daah dakika chache hivi nimetoka ku play hii MP niko njiani hiv nikapitwa na kichaa mmja kati ya muindonesia au phipiline ana drive truck balaa bwana wee nikaamua kumkubali limit speed 80 mwana nikaamua kuunga mpaka 120 kilichonikuta ........... kicked out of the serve
 
Kuna wakorofi sana mule.. Wengine wanakukuta mlangoni anakuvaa tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…