Wakujilipua
JF-Expert Member
- May 5, 2018
- 1,584
- 1,393
π π π π πNgoja nikoment ili uzi usinipotee
INAGOMA AJE? LETA SCREEN SHOT HAPA TUONE, ILI TUKUSAIDIE HARAKANajaribu kudownload version 1.37 mbona inagoma
Huko torrent unafata nn boss...link ya MediaFire si ipo tena 1.38...pakua link iko juu hapo kwenye uzi..mwishon utaona link zoteView attachment 1538151View attachment 1538151nikijaribu hivyo vipengele inagoma kudownload
Naona kila nikijaribu kudownload mod za map,,mabus,,zinagoma kuoperateYan unataka urud nyuma?
huwa unapenda sana mabus etNaona kila nikijaribu kudownload mod za map,,mabus,,zinagoma kuoperate
ahahahah ata mod za map pia zinanizingua tu ,,na set kabisa active lakini hazioperatehuwa unapenda sana mabus et
kwa mfano ni map gani hiyo iliyokuzengua ukiwa na v 1.38ahahahah ata mod za map pia zinanizingua tu ,,na set kabisa active lakini hazioperate
Au natakiwa kudownload upya ?Mkuu mim na Truck Europe Simulator 2 nawezaje kuchange hzo map maana map iliyokuwepo imenichosha ,naomba maelekezo mkuu
ludi mwanzo wa hii thread soma vizuri kcamp kaelezea vizuri kbisa namna ya kuinstall mod na website gani unazoweza kuzipata hizo mod.Mkuu mim na Truck Europe Simulator 2 nawezaje kuchange hzo map maana map iliyokuwepo imenichosha ,naomba maelekezo mkuu
SijakuelewaOFFER, OFFER,OFFER SASA GAME LA EURO TRUCK SIMULATOR 2 LIMEPUNGUA BEI KUANZIA SAA HII , MWISHO TAREHE 24/8 SASA KAZ NI KWENU