Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

magari,ramani... kwa kifupi zinazokufanya wewe ulienjoy

Engines na gearboxes za kibabe.. Horsepower kama mvua vile..
 
magari,ramani... kwa kifupi zinazokufanya wewe ulienjoy
Jaribu hii roughly road kama itafanya kazi

hii kila nikicheki sehemu ya kudownload sion
 
jamani mimi nna tatizo nimedownload hii gemu ya euro truck na nime install ila nikifungua inanionyeshea hiv
 
jamani mimi nna tatizo nimedownload hii gemu ya euro truck na nime install ila nikifungua inanionyeshea hiv
je toka umelifungua haujawahi kulicheza?
pale chini kweny Profile pana kibox cha kuweka tik (V) kimeandikwa Steam
ondoa hiyo tik mara moja

ngoja wataalam kina kcamp waje mm hiyo steam hata sijui ni nini inakula sana download zangu
Na ukiifuatilia kwenye Online utaundua mapungufu mara nyingi wanada RAM au Hard Disk ni ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…