Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

sio lazima uwe na zile version za nyuma, wewe pakua hapo tu na kuendelea
kuna wale wanaoenda na level zao km music nk lakin kuna Mods zinagoma
mm nilihama na Puno Peru kutoka 1.27 kwenda 1.34 yenyewe tu ikagoma
wataalam wanaweza elezea tunarukaje kwenda level za juu kulio uanza 0
hii ni kupima kipi bora niae 1.34 au nicheze na kuendelea 1.35
 
Injinia ukwaju naona ushazoea sasa mambo ni [emoji91]
 
Injinia ukwaju naona ushazoea sasa mambo ni [emoji91]
Rooney toka jana nimepakua game la 1.35 si LIMEGOMA
limeniambia niEXTRACT nimefuata vigezo na muda walionipa kuinstall mapka sasa 24hrs halijafunguka
sijui kuna njia nyingine ya uplay direct?
kcamp nakwama relini, je hakuna njia nyingine ila nipitie WINRAR ?
 
Wakuu, nilipokwama ni hapo baada ya ku extrack ndio muda unaenda hafunguki


nilipokwamia ni hapa chini Time remaining 2 hr 28 minutes yaani silewi

na je kuna haja ya kufungua kutumia Internet yenye bundle tena?
 
Me ntalipakua usiku huu mkuu ntakupa feedback.
Ila kwenye ku extract ukiacha winrar kna 7_zip
 
Me nmelipakua naona lipo poa.
Wajuzi wa mod naziwekaje
Mkuu ni kweli umefanikiwa kudownload mimi kulifungua linanipa warning ya
hofu yangu RAM bado nina 2GB wanashauri niwe angalau na 4GB
sasa sijui km ni tatizo au steam ni kitu gani
 
ahsante mzee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…