Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Ukwaju mzee vipi,hatukuoni barabaran siku hizi
Mkuu ni kweli hawa jamaa baada ya kunidanganya ni install STEAM kwenye PC ndio wakawa wameninasa, kila kitu kilipotea magame yote ya ku crack hayakukubali, bado gharama ikapanda sana kuPlay au Download zao
je wenzangu mliendelea
inabidi nirudi kufuatilia nyuzi zenu huko back
 
Game nalo lime stuckna game zikagoma zote baada ya kurudi STEAM
Nakumbuka uliniambia magame yao wamepandisha bei sasa kujiunga au kuyacheza nikakata tamaa
nisaidie narudije kwani yanagoma hata kuinstall au ni delete STEAM?
 
Aisee rudi crack kumenoga sana
 
Niko namalizia roextended apa kisha niende pro mods maana wao ndo wana faili zenye gb nyingi yani gb 3 kisha ndo nije pro mods uko nimalizeo rus map kisha southern region na map nyingine
 
Alooh hii MAZ ya mrusi hatari sana πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯,huu mlima Scania, Volvo,Man,IVeco,Benz,zote ziliechemka kupanda na mzigo hapa,ila Hili dude la Putin likaja panda kiulani sana πŸ˜‚
 

Attachments

  • ets2_20220622_200031_00.png
    460.7 KB · Views: 22
  • ets2_20220622_200037_00.png
    421.7 KB · Views: 25
  • ets2_20220622_200042_00.png
    431.7 KB · Views: 20
  • ets2_20220622_200011_00.png
    465.3 KB · Views: 25
  • ets2_20220622_195958_00.png
    388.8 KB · Views: 24
  • ets2_20220622_195947_00.png
    408.8 KB · Views: 23
Ulikua unanunua nn hapa
Mkuu ninunue tena steam $ 4.99 au niingie kwemye crack?
maana hapo juu massawepb katuwekea link ya 3 Gb na mm nina Steam niliinunua na ni member, usikute ndio wananibana ni si play game
Msaada tutani jamani Massawe
 
Mkuu ninunue tena steam $ 4.99 au niingie kwemye crack?
maana hapo juu massawepb katuwekea link ya 3 Gb na mm nina Steam niliinunua na ni member, usikute ndio wananibana ni si play game
Msaada tutani jamani Massawe
Steam ww sindo uliwalalamikia juzi,njoo crack tu tule maisha ya mods[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…