Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mwenye mod za magari madogo kwa version ya 1.36 hiyo ya kwanza kwenye link alizoweka mkuu kcamp anisaidie link asee[emoji120]
 
Mkuu, unataka kusema hili game ni maalumu kwa wenye PC pekee? Sisi wenye simu za android inakuwaje sasa?
Nyie wa simu nendeni Fb mtafuteni jamaa mmoja anajiita maleo huyu ndo anasumbua anga za simu anazo mpk map za tz na bus za hapa bongo kwanzia akina machame ivn na shabby na wengine kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…