Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

apana mkuu ni katika kucheza tu nikafika iyo level likagoma
Basi jaribu kuingia kweny documents kisha Euro truck simulator 2 kisha angalia game.crash ,sasa fungua hapo na ucopy logs yote kisha paste Kweny text documents format uapload hapa tuone logs
 
Hiyo Mkuu kama uliweka tik V pale kwenye module
au huenda ni uwezo wa Computer yako ni mdogo, kuna maelezo yatafuata uyaangalie km n RAM ndogo tafyta ya zaidi au Hard Disk
ngoja wataalam waongezee
 
jaman naomben mniambie jinsi ya kuwasha taa ndan ya gariπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
jaman naomben mniambie jinsi ya kuwasha taa ndan ya gariπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
kama unatumia keyboard, bonyeza 1 utapaona ndani halafu bonyeza F4
baada ya namba zote 4 chini pale kuna roof, front nk chagua
halafua hakikisha ni usiku /giza zungusha na mouse kutafura kona zote na kitanda km vina mwanga
upo na Lori gani
 
Mimi huwa nabonyeza k au l taa zinawaka.
 
Mimi huwa nabonyeza k au l taa zinawaka.
TUMSAIDIE kwani mwenzetu kasema taa za ndani (Cabin) sio hizo za nje za kubonyeza L au K
anataka kwenye chumba cha dereva na si za nje au dashboard km sijakosea
 
Mkuuu hiii kwenye simu naipataje nimejaribu kudownload kwenye kuplay inataka nidownload pak mbili ili niweze kucheza bado sizipati hizo apk msaada aseeee
Hiyo ni kwa ajili ya PC mkuu.
 
Mkuu hizi kweny PC tu...huko kwenye simu huez pata
Mkuuu hiii kwenye simu naipataje nimejaribu kudownload kwenye kuplay inataka nidownload pak mbili ili niweze kucheza bado sizipati hizo apk msaada aseeee
 
Achana na hii chuma kabisa...

Map mod, Puno 1.35

Truck: scania S , horsepower 3500HP[emoji16],gear 22

hizo Rims sports [emoji16][emoji2] achana nazo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…