Unatakiwa ukafute folder la steam and then unavyo create profile disabled au untick steam optionMimi imegoma kufunguka ili stop wakat nacheza sasa hiv ukifungua inaandika "steam has stop working" nkafuta nka install upya but bado inasema hivyohivyo..msaada hp g6 core i3 hdd 500 ndio natumia
Naomba hiyo mod ya version 1.34Aisee polee..kama unapenda cheat tumia money mod utakula mkwanja hujawah kuupata
Hili folder nalipata location gani mkuu...kule kwenye documents?Unatakiwa ukafute folder la steam and then unavyo create profile disabled au untick steam option
shukrani brooDownload ETS2 Realistic Graphics Mod zip
Download File ETS2 Realistic Graphics Mod zipsharemods.com
mkuu me nipo ultra asee.. if pocble nidirect kwa hizo mods za graphics nipate full utawala wa hdrSure ukifulia sana uwe kweny high tu..chini ya hapo uchafu
Sasa upate mods za graphics improvement yani utafurahi hizo hdr
cheat engine tuu mod itajaza space tuu [emoji28][emoji28]Aisee polee..kama unapenda cheat tumia money mod utakula mkwanja hujawah kuupata
Zipo nyingi tu we kaserch graphics mods au jarbu hyo hapo juu kwa jamaa
[emoji2] mod yenyew hata kb 30 haifiki
Tupo 1.35 saiz
Aisee polee..kama unapenda cheat tumia money mod utakula mkwanja hujawah kuupata
Naomba link mkuu ya money mod ver 1.35
jamani mimi nataka mods ya truck lenye hp kubwa v1.35Fast XP (level) & Money (1.34 Ready) | ETS2 mods
Tested version 1.34.x Money = $7.000.000 €5.250.000 XP = 500 XP !!! REMEMBER TO MAKE A NEW PROFILE !!! * Respect the download link * Credits: Brittany DOWNLOAD 3 MBets2.lt
kimbiilia post no 510 faster tena lina GB 2.9jamani mimi nataka mods ya truck lenye hp kubwa v1.35
cc 😡Mjumbe Wa Bwana ndio version ya mwisho labda waje wajuzi km wameshagundua lingine