Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Pakua hili...la codex naona limetolewa
Mkuu kcamp hilo la CODEX ndio gumu bora lile la mwanzo
ambalo tumeshalipakua
TATIZO linalotukumba ni Mods ya Brazil hiyo Zip
ikiipeleka Document kwenye Mod ya Euro Truck Simulator unapokuja kumuweka Player kwenye Profile linagoma na kutoa hiyo sign
yaani PC inazima kabisa baada ya kuandika Steam has stopped

naona wote tunataka kwenda Brazil
 
Aisee tuko mapacha[emoji86][emoji86][emoji86] .Mimi nae ni hivyo hivyo k camp njoo umalize tatizo[emoji120][emoji120]
 
Hey ukwaju labda tujalibu euro truck v1.35.1.17s huenda likawa vizuli zaidi
 
Hey ukwaju labda tujalibu euro truck v1.35.1.17s huenda likawa vizuli zaidi
wote tunaplay hiyo version ya 1.35 na inakubali sasa tunachoka kuplay Bara Europa, tumeenda Puno Peru maajali mengi tu milimani huko
sasa tunatamani BRAZIL kinachokwamsha baada ya kuiweka (Extract) Map of Brazil pale kuchagua Playing Module unaitoa Europe linakuja neno nortract and mbd hapo PC inagoma ndio maana tunamuita kcamp au mwingine aturushie Mod ingine ya Brazil tukacheze samba
 
Sasa ukwaju 2nafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…