Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mnakwama wapi?
 
Umecopy zip kama ilivyo au uli extract? Mbona mim sijapata hii shida asee
 
Unaambiwa Brazil kama kigoma tu[emoji1787][emoji1787]
 
Ulicreate profile mpya baada ya kuweka hiyo map ya Brazil???
 
Daah Brazil kuna barabara mbovu ayse...
na ile Map ya Puno ayse kama huna gari yenye Hp kubwa hupandi ile milima...
Duuu[emoji19][emoji19][emoji19] nashindwa kupata utamu wa hili gemu kabisaa. Na sijui ni kwa Nini. au labda ni PC yangu.wajuzi mniambie
 
Ulicreate profile mpya baada ya kuweka hiyo map ya Brazil???
ikiipeleka Document kwenye Mod ya Euro Truck Simulator unapokuja kumuweka Player kwenye Profile linagoma na kutoa hiyo sign
yaani PC inazima kabisa baada ya kuandika Steam has stopped
 
Ulicreate profile mpya baada ya kuweka hiyo map ya Brazil???
nimecreate Profile mpya kabisa, baada ya kufungua Zip nikaiExtract kwanza ndipo nikaipeleka My Document (sijaipeleka Zip yenyewe kwenye My Documenytau ndio kosa lenyewe>)
 
Umecopy zip kama ilivyo au uli extract? Mbona mim sijapata hii shida asee
nili extract ndipo nikapeleka Document na vimetoka km vitatu hivi
hiyo y anamba 1, ikafuata na 3
 
Attachments

  • 1570304705586.png
    67.7 KB · Views: 4
Nasema sasa nimetangaza Vita na hizo setup zooote nitazi download zote mpka nii pate setup makini
 
Puno ile noma..kona kama zote
Daah Brazil kuna barabara mbovu ayse...
na ile Map ya Puno ayse kama huna gari yenye Hp kubwa hupandi ile milima...
 
Uko sahihi,una extract kisha unatia kule kweny mod..then create profile mpya kisha zutaload file mbili za hiyo brazil mod kweny mod manager.. chagua zote mbili pia nashauri usichague mod nyingine yoyote zaidi ya hiyo map tu..ili uone kama kuna mod huenda ndio ilikua inazui hyo Brazil kufanya kazi
nili extract ndipo nikapeleka Document na vimetoka km vitatu hivi
hiyo y anamba 1, ikafuata na 3
View attachment 1224626
 
ikiipeleka Document kwenye Mod ya Euro Truck Simulator unapokuja kumuweka Player kwenye Profile linagoma na kutoa hiyo sign
yaani PC inazima kabisa baada ya kuandika Steam has stopped
uli unchek steam wakati unatengeneza profile mpya?
specification za Pc zako tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…