Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Huu ushauri huu mzuri, kuna kipindi nilikuwa nachanganya mod mbalimbali basi game likiload ghafla napata hiyo error.
Kwahiyo yawezekana kuna mod zingine haziendani na hiyo Mod ya Brazil
 

Mkuu kcamp nakushukuru kumbe jibu ni kuweka zote 2 hapo ndipo wote TULIPOKUWA TUAKWAMA
 
uli unchek steam wakati unatengeneza profile mpya?
specification za Pc zako tafadhali.
Mkuu hicho ndicho cha kwanza kabisa huwa nafanya lasivyoo unaweza poteza Game lote
nashukuru sasa nipo Brazil nilikuwa naweka Mod mojamoja kwenye Active Mod km la Map peke yake au la Gari kumbe ni yote unachanganya shukrani na shukrani za kipekee kwa kcamp sasa sitoki cha mpira wala kilagi ni game tu ila Puno Peru matata roho mkononi kuanguka na kuchelewa ni jadi kule milimani
Ukwaju vip ulifanikisha?
faster ingiza Mod zote kwa pamoja na ulete mrejesho, Game mswanu km vile upo Kongwa aua Kasulu Kibondo
 
Sure mkuu..ila kwa kesi yake kumbe alikua anachagua part 1 tu ya brazil wakt zinatakiwa zote mbiili..so ameashafanikiwa bwana ukwaju [emoji16]
Huu ushauri huu mzuri, kuna kipindi nilikuwa nachanganya mod mbalimbali basi game likiload ghafla napata hiyo error.
Kwahiyo yawezekana kuna mod zingine haziendani na hiyo Mod ya Brazil
 
Link namna ya kufix hiyo error https://www.sts-tutorial.com/sites/tutorialCenter.php?How_To_Fix_Unarc_dll_missing_error
But kwamimi naprefer zaidi nifanye clean installation
Mkuu hiyo Link ni sahihi kabisa
hakiksha bundle ni zaidi ya MB 3 (Mb 1 = 2,000/)
hakikisha inaposhushwa usiweke au kutafuta chochote mtandaoni mpaka 2.9Mb zinaisha
salama ni usiku zaidi
kwa speed nzuri jaribu usiku pametulia na ujue Virus ni wengi wana attack uwe na Anti virus wazuri
nakutakia mafanikio mema
 
Asante mkuu, leo kipofu kaona mwezi niko nadrive mzigo na scania streamline
 
Asanteni sana . Ets 2 napeleka mzigo kama kawaidaView attachment 1226249
Baado weka ile Mod ya maPoweful engine ingia garage nunua Hp 3400 yenye Open Pipe tafuta na gearbox mbona Streamline inaruka? ni ajali gari zote zinafukuza ni rahatupu ETS,
Duh ilibidi nirudi engine ndogo tu maana Puno Peru ni mieleka tu na kwenye theluji halifai linateleza
nakutakia uendeshaji mwema
 
Bwana Ukwaju kule Puno kama huna engine yenye hp kubwa ile milima kupandisha ni ndoto
Uendeshaji wakule unahitaji subra, ukitaka kwenda kama upo kwenye jamvi la mwendokasi lazima ajali uzipate tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…