Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hii wapi tena..dah keyboard zangu zmejam kama wiki basi sjasukuma kabisa Scania langu
Hilo tatizo ni la wote maana kuna wakat unakandamiza ili kuwahi pia brake za ghafla.
Jostrick za computer vp? Kwa upande wangu nilizitumia haz nongi kabsa!
 
Mimi nimezoea keyboard tu ...bila keyboard nakua Lena [emoji2]
Hilo tatizo ni la wote maana kuna wakat unakandamiza ili kuwahi pia brake za ghafla.
Jostrick za computer vp? Kwa upande wangu nilizitumia haz nongi kabsa!
 
Mambo yanaendelea kuwa ni Moto ndani ya Brazil.
Scania bus. Engine 410 hp. gear 12. Ikiendelea kutamba brazil
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] coz.nimejalibu kucheck mods ya pasenger &bus terminal. But zoote ni comportable for orginal map (European map)
Kama Kuna uwezekano kwa Hilo nisaidie please
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] coz.nimejalibu kucheck mods ya pasenger &bus terminal. But zoote ni comportable for orginal map (European map)
Kama Kuna uwezekano kwa Hilo nisaidie please
Sijawahi endesha hayo mabus...Mimi ni malori tu...
though kuna ile map Puno nilikuwa nabeba abiria kwa Scania langu
 
Nimedownload hili la version 1.35 limeingia ila likianza kuinstall kuna error inakuja then inafell kuinstall
 
vipi kwenye lile la scania simulator, na kweyewe kumeboreshwa?, maana before lilikuwa lina challenge nzuri sana hasa za difficult parking, stress management na mengine
 
Hiyo error nimeona hata kuna jamaa amecomment kakutana nayo kule torrent.. tatizo version yetu ya kwanza imetolewa...

Ngoja ukwaju aje ikibid afanye ku upload lile la gb 2..mim nimeformat mashine juzi
Dah unajua hata lile lenye 2gb linaerror man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…