Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Hii map nilidownload zaidi ya maa mbili kwaktumia IDM, bahati mbaya haikuwa na resume capability na voda walivyokuwa na sifa za internet speed dk tu GB zimekata
Leo nimeamua kulishusha View attachment 1250740
Naona speed takatifu mkuu [emoji16] hapo lazima liingie
 
Ndio mkuu speed nzuri kabisa na hatimae nimefanikiwa, hlf hii Andres Peru nilidhan ni map ya kule America nashangaa nakuta miji ya Europe...
 
Aisee...lakin si ipo poa?
 
Ndio mkuu speed nzuri kabisa na hatimae nimefanikiwa, hlf hii Andres Peru nilidhan ni map ya kule America nashangaa nakuta miji ya Europe...
Daah hi map naona ina matatizo. Ishaanza kunizingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…