Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

daaah ukiwa na hili bus ndan ya andes ni laha sana
 
Attachments

  • ets2_20191102_075114_00.png
    866.4 KB · Views: 2
Daah hi map naona ina matatizo. Ishaanza kunizingua
Hii map tofauti na jina lake Andes Peru nimeshangaa kukuta inch za Europe kama German, Slovakia n.k, nimeitumia kiasi chake naona iko poa lakini bado haijafikia level za Brasil na Puno
 
Hii map tofauti na jina lake Andes Peru nimeshangaa kukuta inch za Europe kama German, Slovakia n.k, nimeitumia kiasi chake naona iko poa lakini bado haijafikia level za Brasil na Puno
Nilifika maeneo ya uberigiji.nikakuta mlima mkubwa balabalani hata gari haliwezi kupita.na Cha ajabu lamani ina ni rocate nisonge mbele. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaaah. Andes hii si ya mchezo mchezo
 
Urucu noma sana kufika ukiwa na injini ndogo unafika kwa mbinde

Attachments

  • ets2_20191102_170336_00.png
    1.3 MB · Views: 3
Nilifika maeneo ya uberigiji.nikakuta mlima mkubwa balabalani hata gari haliwezi kupita.na Cha ajabu lamani ina ni rocate nisonge mbele. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaaah. Andes hii si ya mchezo mchezo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…