Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Leteni error mnazopata hapa tuone
Tupe location tuje kupata mzigo...mimi nmesumbuka kuinstall version 1.34, na 1.35 hadi Leo naona chenga
 
Naomben link ya kudowload eurtruck chap nina mb za kutosha
 
Aisee awa developer saiz wanatest version ya 1.36, wako moto balaa
 
Kuna baharia yoyote humu amewahi fanikiwa kudeliver mzigo within the time kwenye ile Map ya Puno??
Kwaupande wangu hata nikimbie vp ayse...sijawahi fanikiwa kuwahi
 
Kuna baharia yoyote humu amewahi fanikiwa kudeliver mzigo within the time kwenye ile Map ya Puno??
Kwaupande wangu hata nikimbie vp ayse...sijawahi fanikiwa kuwahi
mzee ni ngumu sana, mi nikichezaga huwa adi napata hasira kuna kona adi so vizur,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…