mabala family
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 228
- 258
Wee! Hizo kona wakat mwingine urud nyuma ufike mapema , bado kuanguka mtoniKuna baharia yoyote humu amewahi fanikiwa kudeliver mzigo within the time kwenye ile Map ya Puno??
Kwaupande wangu hata nikimbie vp ayse...sijawahi fanikiwa kuwahi
njoo pm nikupe locationNtashukuru
Kuna time nawaza nmpate mtu alienalo anicopie niliinstall kwangu
Mkuu naomba unisaidie kupata hata old version ya game hii nipo magomeninjoo pm nikupe location
Me nna 1.9.22 yakizaman saa Il nipo iringaMkuu naomba unisaidie kupata hata old version ya game hii nipo magomeni
Mimi natumia 1.8.25 old kabisaMe nna 1.9.22 yakizaman saa Il nipo iringa
Nahis mwez wa 12 tuta Anza kUcheza 1.36.xxx Kwan sasa hata mod za 1.36 tayali zishaanza kutokaAisee awa developer saiz wanatest version ya 1.36, wako moto balaa
Mkuu mm natumia version 1.32.3s nimeinstall peru mapa lakini kila nikijaribu kucheza game linafika seheme kwenye kuload lina stop na kuclose programView attachment 1258222
Mi naiona tu uku, lakin nashindwa kuzi-instalHamna aliecheza map ya pro mod? Map imetulia sana makin
Naomba unisaidie kupata iyo version ya 1.35 mkuuYani peru ya 1.35 umeweka kweny 1.32? Lazima ikugomee..nilisema mods version iendane na game version...
Sasa kwanza hamia 1.35
Mkuu lile game la 1.35 la 2.8gb limeliwa kabisa na nilishafika 83% ya Map ya Puno Peru ingawa sijawahi wahisha mzigo popote, ni mieleka na ajaliNgoja ukwaju aje ikibid afanye ku upload lile la gb 2..mim nimeformat mashine juzi
Mkuu lile game la 1.35 la 2.8gb limeliwa kabisa na nilishafika 83% ya Map ya Puno Peru ingawa sijawahi wahisha mzigo popote, ni mieleka na ajali
sasa nadownload upya hili ulillotuwekea la 3.58gb
Yan acha tu sijui nnfel wapMkuu hadi leo hujafanikiwa?
Tatizo dogo Sana hili. Kama Bado L inasumbua uc site kutujuzaMkuu mm natumia version 1.32.3s nimeinstall peru mapa lakini kila nikijaribu kucheza game linafika seheme kwenye kuload lina stop na kuclose programView attachment 1258222
Mhhh.pole San mkuuYan acha tu sijui nnfel wap