Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mkuu lile game la 1.35 la 2.8gb limeliwa kabisa na nilishafika 83% ya Map ya Puno Peru ingawa sijawahi wahisha mzigo popote, ni mieleka na ajali
sasa nadownload upya hili ulillotuwekea la 3.58gb
Hiv map puno Peru inaoneka ni baraa sana
 
Mkuu lile game la 1.35 la 2.8gb limeliwa kabisa na nilishafika 83% ya Map ya Puno Peru ingawa sijawahi wahisha mzigo popote, ni mieleka na ajali
sasa nadownload upya hili ulillotuwekea la 3.58gb
Mkuu hivi siwez tumia IDM kudowload au ndo mpaka nipakue torrent
 
Nna usingiz hapa nashindwa hata kudownload Euro truck dah[emoji16]
 
Naombeni link asee nmejaribu mda mrefu leo tena nmepata error mpya .....isdone.dll error "unarc.dll returned an error code....hii ni 1.35.1.50s
Nna usingiz hapa nashindwa hata kudownload Euro truck dah[emoji16]
 
Uli download direct x!?
Naombeni link asee nmejaribu mda mrefu leo tena nmepata error mpya .....isdone.dll error "unarc.dll returned an error code....hii ni 1.35.1.50s
 
Naombeni link asee nmejaribu mda mrefu leo tena nmepata error mpya .....isdone.dll error "unarc.dll returned an error code....hii ni 1.35.1.50s
naona kuna tatizo, hata mm nimejaribu hilo la kwanza lenye 3.58gb likagoma nikarudia lile la kwanza limemaliza slama lakini kufunguka limegoma ni error tupu
labda natakiwa nitoe kila File la Simulator 2 ndani ya computer
kwa hiyo Link zote zimegoma
 
Hiv map puno Peru inaoneka ni baraa sana
Hii Map ya Puno Peru ni kiboko, niliiwekea Injini Gearbox na pesa nikawa juu lkn
kuna sehemu kuna theluji, Lori inateleza mpaka muda unaisha sijui wenzangu huwa wanabadili tairi?
kuna sehemu kuna mawe ya ncha kali gari haitembei lazima utaomba kwenda Gereji muda utaisha sijui kuna mahali pa kubadili suspension maana lori halitulii
kuna kona za ajabu lazima utagonga tu
kweli hakuna zaidi ya Puno Peru, labda wajuzi waseme wanatembeaje juu ya theluji maana napitwa km nimesimama
 
Hahaha!!!!! ulifunga engine kubwa yenye hp 10000
 
Hahaha!!!!! ulifunga engine kubwa yenye hp 10000
Tena ni OPEN-PIPE inanguruma km mnyama, na gearbox la bei ghali, mbona hicho kichwa/tractor kilikuwa kinaruka hewani km swala? nikivuta tela basi ni mweleka na kuchelewa kufika, pesa yenyewe nilikopa Bank, si wakaninyang/anya mbichwa wao, nikaanza chini taratibu, tena nachagua barabara zisizo na milima, km kule Puno nikavuta mkwanja upya na kujiongezea % ktk kutalii ramani
ngoma mbona tyre zinateleza kwenye theluji ninyi mnavukaje
Puno Peru kiboko bora Brazil
 
La kwanza link umetoa wap?
 
La kwanza link umetoa wap?
yote ulituwekea Mkuu kcamp
moja la awali lipo post ya 510 lina 2,90Gb
na la pili ndio hili limegoma post 726
likiwa na CODEX siwezi bora rar na nimeanza upya kuDowload nakomaa nalo hilo la 2.9Gb limekubali baada game za kamari kukaa pembeni
 
Hilo la 2 limekubal kwako? Kuna lile la mwanzo silion...ngoja nijarbu usiku Leo hilo la 2.9
yote ulituwekea Mkuu kcamp
moja la awali lipo post ya 510 lina 2,90Gb

na la pili ndio hili limegoma post 726

likiwa na CODEX siwezi bora rar na nimeanza upya kuDowload nakomaa nalo hilo la 2.9Gb limekubali baada game za kamari kukaa pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…