Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Vip hiyo ya juu hapo ulicheza mweny version ipi?
natumia 1.31.2 ,

now nimekata hii

 
Kwel kabisa mkwamaji humu ukwaju..hana money mod mpaka saiz
Nimecheka sana Mkuu, nilifanikiwa kuDownload 2.9gb sasa nashindwa kurudi kwa sababu nikituma Zip ya Euro ili mje ifungua Attach za JF zinadai 2.9gb ni kubwa nikituma Folder linagoma JF wanagoma bado
Mimi nina Volvo napasua Puno - Putina nimefunga engine 3400hp na gearbox yake baada ya kupewa Euro 2m
kuweka Gearbox kubwa na nipo level 128 Divine Champion
Nakimbilia HUATASARI na PUTINA kuna Mlima una theluji kibao nataka nikajaribu kupita maana hakuna usingizi tena, Volvo Globetrotter hp kubwa
 
Hahah jf haiwez pokea file nzito...hapo labda uweke google drive kisha upost link hapa

Aisee huko puno itabd nikiistall nirudie
 
Duh 1.31 itabd ucheze na harsh Russian balaaa sana
 
Hahah mambo ndio hayo mkuu

Hapo unapanda milima Huku unaachia sound la open pipe v8
Nimepata mod ya gearbox na engine ni hatar,, naitumia brazil saiz, badae niingie puno nikapande milima
 
Duh 1.31 itabd ucheze na harsh Russian balaaa sana
niliicheza hii kitambo kwa version ya 1.25/1.26 ivi, iko poa kwa zile rough road na ule utelezi wa barafu zake 😁 😁

kama umegundua maeneo ya juu kaskazini mwa iyo Russia , Jua hua halizami , linawaka limefifia mda wote, iwe usiku au mchana ( may be wako karib na North Pole 😁😁 )

PJ Indo nimemaliza nusu, mara nikaanza kuona narudia sehemu, kumbe ilikua part ya Mario Map , nikaachana nayo

Niliweka na Hungary map, ilinisumbua kukaa sawa, ikaelekea kibla, ile naaza tu , kui zoom ramani, ni copy and paste ya map ya marekani kwenye mario map, wamebadili majina ya miji tu, nilikereka nikaifutilia mbali

Ila moja ya ramani ziko realistic kinoma ni hii ya Marekani, ni ya mtaa kwa mtaa sanasana (two way traffic nyingi kuliko highways) na iko densely detailed/populated (majengo, vegetation,grass,pedestrians, cyclists, AI cars, interconnected road networks, overhead power/telephone lines za kutosha ) ukiwa na video card nzuri unainjoi kinyama

now niko na ProMods, ilidinda kukaa sawa (issue ya def.scs file) 😁 😁 now iko poa,
 
Mkuu nimefanikiwa pongezi nyingi, ila Mod ya No Damage naitafuta, maana hii mashine ya Volvo 3400hp imepasua milima na kona zote sema mikambi na mieleka, nimerekebisha suspension inateleza tu. nina hasira na Puno Peru nipo Divine Champion lengo nifike 90% ya Map
 
Daah umetisha....unechafuaa

Marioa kuna route za usa nilipiga kwel ziko reality sana...two lane,misitu,nyumba nn

Pro mod ndio map iliyotulia...kuna kisiwa kipo kimejificha kina barafu na chaka poli kimtindo..yan pro mod wanajua sana

Vip unayo link yenye zip moja ya pro mod? Sitak kupakua parts zile...au nilipie tu dolla moja yao

 
Yani GOba jamaa wa harsh Russian sijui kwamm kaacha kudevelop mzigo ule..yan map tam sanaaaa...
 
Vip unayo link yenye zip moja ya pro mod?


ila ni kwa 1.31

def.scs file niliipata kwao

 
Mim nataka ya 1.35...anyway ngoja nilipie dola 1 tu
 
Nafkri ndo hichi mkuu..mazingira ndio hayo hayo..yani pro mod wamewashinda hata official ets2 map..wana map kali no bugs
yeah, naona hata hii map ya Europe wamei-modify na kuweka highways complex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…