Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Mimi nimeipata hiyo mod ya no damahe nimeweka iko poa, tatizo ukianguka lazima uite mtu aje kukunyanyua
 
Download: No_Damage_by_sdonbass18_v1.35.x.rar [507 KB]
KONGOLE Mkuu, shukrani sana sasa napasua barabara za Puno_Peru moto chini
napita malori na gari ndogo km yamesimama,
lakini muda wanaopanga kuwasilisha bado ni mdogo licha ya kuondoa usingizi mzigo unachelewa
nimepata mahali pa kkuondoa stress mkinikosa JF nipo ETS-2
 
Yaan uko Kama Mimi.
 
Wakuu mim naomba mnisaidie keys za kuactivate ..nimechoka demo..
 
mambo yanazidi kuwa ni moto ndani ya puno peru
 

Attachments

  • ets2_20191114_083818_00.png
    849.2 KB · Views: 2
  • ets2_20191114_084004_00.png
    1.2 MB · Views: 3
ingelikuwa ni wewe hapa je ungepita {hapa kuna kona kumi na nne} na zote ni za aina moja
 

Attachments

  • ets2_20191114_075749_00.png
    831.2 KB · Views: 2
hapa kuanzia sandia,untuca mpaka sina kote ni theruji tupu.na ni milima mirefu mno bila kuwa na engine kubwa hupandi ng'o
 

Attachments

  • ets2_20191114_085736_00.png
    665.7 KB · Views: 3
Mwenye game la SCORE MATCH la android ambalo liko hacked msaada wakuu naomba link
 
mi ninayo NO DAMAGE MOD yan ni bata tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…