Fahamu jinsi ya kuinstall Mods kwenye Euro trucks simulator 2

Ninayo set up ya eurotruck simulator GB 4.412 uhakika ntatuma link soon
 
ingelikuwa ni wewe hapa je ungepita {hapa kuna kona kumi na nne} na zote ni za aina moja

Jamani hayo mabasi mnayanunua wapi? nawaombeni hata moja
hizo kona ukigota kwenye kona ya kulia piga reverse kwenda kushoto, hapo utatoka kwani zile tairi ya nyuma zinakuwa km daraja moja ikitumbukia kwenye shimo nyingine zinainyanyua, lkn Damage ni lazima (labda uitoe) pia muda unapotea sana
 
wewe achana na hili bus .huwezi amini nilipita hapo bila damage lakini nilipoteza mda sana. lakini mission sikuchelewa kama hauamini pakua hili hapahttps://sharemods.com/9537z5zci44p/ets2_1.34_scania_touring.rar.html
 
no damage
 
Attachments

  • Screenshot_2.jpg
    273.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_1.jpg
    222 KB · Views: 3

msaada tutani hapo kwenye Blue , kwani huwa nashambuliwa sana na Kirusi
ina maana nikishatoka kwenye ZIP ya rar ndio niwashe /nifungulie ni run ANT VIRUS na iendelee wakati Inaistall? Kuna Kipindi Kespesky ilikuwa inagoma chochote nisiweke kutoka Internet nikawa naizima ndio naInstall kumbe ni kosa?
ni hapo tu maelekezo
 
iwe wazi wakati wa kudownload ila ifunge wakati wa ku install mpaka installation iwe comprete ndo ufungue antvirus yako WARNING uc scan wakat una install
 
s 730 tani 22 kwenye theruji mambo ni mswano
 
Attachments

  • ets2_20191116_032800_00.png
    1.3 MB · Views: 4
s 730 tani 22 kwenye theruji mambo ni mswano
Wewe mkali bado hiyo Scania 730e ina horsepower 730 hujaiongezea injini na gearbox kubwa?
mm naweka mpaka engine ya 3400hp haipandi inateleza na theluji natafta hela nikaweke engine ya nwisho kabisa 10000hp
Hapo pananisumbua sana
 
nilipofika hapo nilinyanyua taili za kat ngoma ikapanda kama kawa
 
Wewe mkali bado hiyo Scania 730e ina horsepower 730 hujaiongezea injini na gearbox kubwa?
mm naweka mpaka engine ya 3400hp haipandi inateleza na theluji natafta hela nikaweke engine ya nwisho kabisa 10000hp
Hapo pananisumbua sana
muungulumo wa open paip huwa siupendi ndo maana natumia ya engine ya kawaida
 
usisa hau kwenda masiapo hadi saluni nako ni nouma sana
Hii sehemu naikumbuka kuna crane linapakia miti ya milingoti hapo, barabara ina mawe hasa inabidi ulegeze suspension nilichelewa kidogo.
Nilikuwa natoka CAMERON Game limekufa lote, sijui ni Virus au Computer
sina raha imeniandikia Steam has stop working na kwa Peru Puno nilishafikia Divine Champion stage 872 level
nimeanza upya kuZIP ndio kabisa imegoma nikadelete ETS-2 kote mpaka Document bado imegoma kuanza, sijui mnaanzia wapi wenzangu au niDownload upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…