Hiyo ndo kiboko sasa ya rough roadsHiyo sijawai tumia ni Ya version gan inasurport mana hiz mod nazo zikitofautiana version game inazingua yaan
Inaitwa hivyohivyo kama ulivyoandika
Nimeona mkuu hatari Sana si unajua sie wazee wa ganda la ndizi kununua nomaa nitarud tu version ya chini kwa ajiri ya hiyo mapHiyo ndo kiboko sasa ya rough roads
Sema sasa free mod ilkua ya 1.30
Akatoa ya 1.32 sema anaiuza
Inaitwa harsh russian baikal r20
Unaeza chek hata youtube,gameplay
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Inabalaa hiyo hadi nmeimis sema ndio hakuna ya 1.33 imebd niwe mpole...we ukipata tym downgrade alaf iwekeNimeona mkuu hatari Sana si unajua sie wazee wa ganda la ndizi kununua nomaa nitarud tu version ya chini kwa ajiri ya hiyo mapView attachment 1031288
Mana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzikaInabalaa hiyo hadi nmeimis sema ndio hakuna ya 1.33 imebd niwe mpole...we ukipata tym downgrade alaf iweke
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
Naomba link ya rough road mkuuMana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
The Harsh Russian Baikal R3 1.24 | ETS 2 modsNaomba link ya rough road mkuu
Ha ha ha haMana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
Pakua ambalo lipo activated kabisaWakuu me mgeni kwenye ili game...baada ya kukomaa nalo nimefika level ya tatu sasa linataka niactivate tena na naona linaonyesha oale kuactivate ni kama 3gb data....emb naombeni mnielekeze cha kufanya au ndo inanilazimu tu kuingia hasara ya izo data zote na vyuma venyewe ndo ivi...naombeni msaada mpaka sasa nakwama kuendelea kucheza
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaMana ukiwa kwenye mikorongo au mashimo ule mbichwa wa scania unavyonesanesa unavyoachia zile presha za brake dah sijui nisemeje mkuu vile ninavyofeel yaan mzungu mtu mwingine sasa kwenye radio ile ya natupiaga bolingo kwa mbali kitu wenge muzika
Mjomba kama dunia yote yako hatari sana
Mkuu naweza kulishusha kupitia sim then nikaliweka kwenye pc???Pakua ambalo lipo activated kabisa
Shusha hili hapa ni latest version
Download Euro Truck Simulator 2 v1.34.0.17s (65 DLC)(2-click run) Torrent | 1337x
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kiongozi nakwama apo kwenye uo ujumbeYaa kama una torrent kweny sim yako
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Huna torrent mkuu
Sawa mkuu shukrani....akuna shortcut kabisa kupunguza matumizi ya izo gb 5??Huna torrent mkuu
BitComet - Downloads
Install hiyo bitcomet hapo kisha ndo udownload upya
Alaf bando unalo? Mzgo una gb 5 huo
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ipo ila kwasasa haijatoka...imetoka ya 5gb tu..kama unaweza vumilia ,subr had next wik inaeza toka ya 3 gbSawa mkuu shukrani....akuna shortcut kabisa kupunguza matumizi ya izo gb 5??
Sent using Jamii Forums mobile app
Umehakikisha hiyo peru ni ya version sawa na ya game lako?Nimedownload mode ya peru map nikaactivate kwenye mod manager na ikawa active...ila playing module inabaki faint nikicreate new profile
Sent using Jamii Forums mobile app