Fahamu jinsi ya kupata unit feki za umeme (token) bila malipo

Lazima uchunguzwe umejuje kama kuna unit fake...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] cheki wezi wa umeme wanavyoshusha mapovu aisee!! Mleta uzi Shetani anakuwochi ujue...[emoji23] [emoji23]
 
Kila mwanadamu ana chembe chembe ya ukichaa nahisi hujamaliza dozi Mirembe we jamaa
 
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji16] nilikua nakuja kupata ujuzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuh umetuweza aisee watu wanavyopenda vya bure wanakutolea mapovu kwa hasira
 
nilisema lazma viroba wauze kama bangi mtaan havitaishaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…