Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

Fahamu jinsi ya kutambua ikiwa simu ya Apple iphone 12 (mini, pro, promax) ni feki au orijino

Leo nitakuambia namna ya kutambua simu feki za Apple iphone 12 (mini, pro, pro max) ili usijikute ukinunua simu feki bila kujua.
Thanks..
Na kwa 'iphone 13' , na model zingine za iphone je?
 
Thanks..
Na kwa 'iphone 13' , na model zingine za iphone je?
Sina uhakika kuhusu iphone 13 kwa sababu sijaijaribu.

Lakini kwa kuwa ni product ya Apple, lazima Apple watakuwa na serial number yake kwenye database yao. Kwahiyo njia hii inaweza kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom