Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Oct 19, 2021 #2 Ahsante sana kwa somo Nalog off
M Mr_Dee Member Joined Sep 28, 2021 Posts 18 Reaction score 19 Oct 19, 2021 Thread starter #3 Washawasha said: Ahsante sana kwa somo Nalog off Click to expand... Karibu tena
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Oct 19, 2021 #4 Mr_Dee said: Leo nitakuambia namna ya kutambua simu feki za Apple iphone 12 (mini, pro, pro max) ili usijikute ukinunua simu feki bila kujua. Click to expand... Thanks.. Na kwa 'iphone 13' , na model zingine za iphone je?
Mr_Dee said: Leo nitakuambia namna ya kutambua simu feki za Apple iphone 12 (mini, pro, pro max) ili usijikute ukinunua simu feki bila kujua. Click to expand... Thanks.. Na kwa 'iphone 13' , na model zingine za iphone je?
M Mr_Dee Member Joined Sep 28, 2021 Posts 18 Reaction score 19 Oct 20, 2021 Thread starter #5 antimatter said: Thanks.. Na kwa 'iphone 13' , na model zingine za iphone je? Click to expand... Sina uhakika kuhusu iphone 13 kwa sababu sijaijaribu. Lakini kwa kuwa ni product ya Apple, lazima Apple watakuwa na serial number yake kwenye database yao. Kwahiyo njia hii inaweza kufanya kazi.
antimatter said: Thanks.. Na kwa 'iphone 13' , na model zingine za iphone je? Click to expand... Sina uhakika kuhusu iphone 13 kwa sababu sijaijaribu. Lakini kwa kuwa ni product ya Apple, lazima Apple watakuwa na serial number yake kwenye database yao. Kwahiyo njia hii inaweza kufanya kazi.