Fahamu jinsi ya kutengeza sabuni ya unga na ya mche

Fahamu jinsi ya kutengeza sabuni ya unga na ya mche

Joined
Feb 18, 2015
Posts
58
Reaction score
14
Ndugu Wanajamii Na Thani Wazma Wa Buheri. Naombeni Ni Fahamishwe Jinsi Ya Kutengeza Sabuni Ya Unga Na Ya Mche. Ni Matilio Gani Yanahitajika? Nawasilisha Kweinu Ndugu Wanajami I Kwa Elimu,maarifa Na Ufahamu. Ahsthanteni Nyote.
 
Mhh, mtafute yule mwalimu wa kibasila, atakulekezaa.. (kidding) Huu Uzi ungeupeleka jukwaa la wajasiriamali usingekosa jibu...
 
​hebu edit hiyo heading, nimekimbilia thread kumbe na wwe unauliza
 
Ndugu Wanajamii Na Thani Wazma Wa Buheri. Naombeni Ni Fahamishwe Jinsi Ya Kutengeza Sabuni Ya Unga Na Ya Mche. Ni Matilio Gani Yanahitajika? Nawasilisha Kweinu Ndugu Wanajami I Kwa Elimu,maarifa Na Ufahamu. Ahsthanteni Nyote.

kwa kifupi, basic MATILIO YA SABUNI YA UNGA
SULFONIC ACID
SODA ASH
SODIUM SULPHATE
NANSA
OPTICAL BRIGHTNER (BYTINA)
HYDROGEN PEROXIDE
RANGI
PERFUME

BUT MKUU, nakushauri kama unataka kuwa expert tafuta chuo ufundishwe kwa vitendo na kwa kina na sio ya siku moja mambo kumi na uchafu.
 
Back
Top Bottom