Loyalist JF-Expert Member Joined Aug 28, 2020 Posts 411 Reaction score 893 Mar 7, 2021 #21 moyafricatz said: Mbona easy sana kuwajua Ukifungua jina la kampuni husika mfano Coca-Cola, LinkedIn itakwambia Coca-Cola ina employees mfano 450 ambao wako LinkedIn. So unafungua tu ile list maana wana majina na titles zao. Click to expand... Mkuu sawa, unaweza ukawafollow lakini usipewe mchongo, Ulimwengu wasasa kama huna referee au mkwanja utaishia kutuma ujumbe na hakuna reply yoyote, ni wachache sana wenye moyo huo hata kukujibu tu. Any way, LinkedIn ni nzuri tusikate tamaa.
moyafricatz said: Mbona easy sana kuwajua Ukifungua jina la kampuni husika mfano Coca-Cola, LinkedIn itakwambia Coca-Cola ina employees mfano 450 ambao wako LinkedIn. So unafungua tu ile list maana wana majina na titles zao. Click to expand... Mkuu sawa, unaweza ukawafollow lakini usipewe mchongo, Ulimwengu wasasa kama huna referee au mkwanja utaishia kutuma ujumbe na hakuna reply yoyote, ni wachache sana wenye moyo huo hata kukujibu tu. Any way, LinkedIn ni nzuri tusikate tamaa.
Regent JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 2,306 Reaction score 3,569 Mar 7, 2021 #22 moyafricatz said: Kupitia LinkedIn Nimeshatumiwa ujumbe na ma operations managers wa makampuni mawili..wakitaka kunipa kazi. Ila niliwaomba niwape the best people i trust kwenye zile kazi walizokua wanataka Niliko am good. Click to expand... Wewe ni Fresh au una maExperuence ya miaka 10
moyafricatz said: Kupitia LinkedIn Nimeshatumiwa ujumbe na ma operations managers wa makampuni mawili..wakitaka kunipa kazi. Ila niliwaomba niwape the best people i trust kwenye zile kazi walizokua wanataka Niliko am good. Click to expand... Wewe ni Fresh au una maExperuence ya miaka 10
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 Mar 7, 2021 #23 Katika ubora wako 😊
Regent JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 2,306 Reaction score 3,569 Mar 8, 2021 #24 Yna2 said: Katika ubora wako 😊 Click to expand... Inapendeza
6WaS9 JF-Expert Member Joined Mar 2, 2021 Posts 2,562 Reaction score 3,028 Jun 1, 2021 #25 Deo Corleone said: Nimejiunga tayari Click to expand... Tupe mrejesho