Fahamu Kabila lililo ishi Engaruka Wilayani Monduli Mkoani Arusha

Fahamu Kabila lililo ishi Engaruka Wilayani Monduli Mkoani Arusha

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,768
Reaction score
4,038
Habari wanajamvi,

Naombeni kama kuna mtu anaye fahamu au mwenye historia ya watu waliokuwa wanaishi katika eneo la Engaruka Wilayani Monduli Mkoani Arusha.

Wenyeji/watu waliokuwa wanahishi eneo hili walikuwa ni wataalamu sana kwaeny mambo ya kilimo, hasa cha umwagiliaji, Wale wliosoma historia watakubaliana nami

Nimejaribu sana kutafuta historia ya hawa watu waliokuwa wanahishi hapo lakini hakuna vielelezo sahihi ni watu/kabila gani lilikuwa ninaishi hapo awali.

Naombeni mwenye habari zozote tushirikishane hapa


Karibuni
 
Back
Top Bottom