Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Kanisa la shetani ni moja wapo ya kanisa ambalo ili rasmishwa mnamo mwaka 1966 na mwanzilishi mwanamuziki, mwandishi wa vitabu, mwanasaikolojia, anaitwa anton szandor lavey alizaliwa mnamo mwaka 1930 na kufariki mnamo mwaka 1997.
anton szandor lavey alianzisha kanisa hilo nchini marekani kwa lengo la kujua elimu ya unajimu, kufundisha uchawi, kufanya matambiko ya kafara za damu.
Aidha damu hizo ni kafara ya mnyama na si kafara nyingine, kwa kafara za wanyama kama ng'ombe, kondoo, kuku, bata, kanga, lakini kafara bora katika wanyama ni mbuzi mwenye pembe ngumu na zikiwa mbili sawia.
kuanzia mwaka 1966 mpaka kufikia mwaka 1980 tayari kanisa hili la kutumikia vifaa vya shetani ikiwa ni sehemu ya ibada idadi ya watu iliongezeka kufikia 8.6 milioni,
KURASA IJAYO TUTAONA NAMNA HILI KANISA LA SHETANI INAVYO FANYA KAZI KIUNDANI NA LENGO ZAIDI NI KIPI.
tukutane wakati mwingine katika mwendelezo.
Huyu ni ndugu ANTON SZANDOR LAVEY, akiwa katika kanisa lake akiendesha ibada hiyo kwa waumini wake mnamo 1975View attachment 3048935