The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
MAKALA hii imeandaliwa na
Kaka MWAFRIKA
Alizaliwa kwa majina ya Amri Athuman mnamo 1948
Mkoani Tanga, TANZANIA.
Alisoma shule ya Msambweni iliyoko,mkoani TANGA
Alianza kuigiza akiwa na umri wa miaka 10
Mwaka 1958,katika majukwaa.
KAZI /SANAA YAKE KWA UJUMLA
Alikuwa
MUIGIZAJI,MTUNZI,MTAYARISHAJI
MCHEKESHAJI
Muongozaji na Muandishi..
Ndiye muigizaji wa kwanza 🇹🇿 Kurekodi mikanda yake,
Na kuingiza sokoni kwa mauzo,akishirikiana Ama akifanya kazi na shirika la filamu nchini 🇹🇿 kwa wakati huo ( TANZANIA FILM COMPANY TFC)
KING MAJUTO Ameshiriki filamu nyingi Sana enzi za uhai wake
Zikiwa ni kama ifuatavyo.
1:SIO SAWA
2: LOLITA
3:NDOA YA UTATA
4: GUMZO
5: NAHAMA
6:MAMA NTILIE
7:MRITHI WANGU
8: NIMEKUCHOKA
9😀ALADALA
10: MBEGU
11:RENT HOUSE
12: ZEBRA
13:SHIKAMO MZEE
14:SHOE SHINE
15:KIZUNGUZUNGU
16:INYE
17:BOSS
18:MTEGO WA PANYA
19:SIKUKUU YA WAJINGA
20:BACK WITH TEARS
21:CHIPS KUKU
22:NYUMBA NNE
23:FAITHFUL
24:STREET GIRL
25:GUNDU
26:TIKISA
27:UTANI
28:TROUBLE MAKER
29: TABIA
30:LAKUCHUMPA
31:ATM
32:BISHOO
33😛USI NA PAKU
34:VARANGATI
35:OH MAMA
36:SWAGGER
37:JAZBA
38:MKE WA MTU SUMU
39:MBUGILA
40: MKALI MO
41: NAKWENDA KWA MWANANGU
42: FUNDI GEREJI
43: WAKE UP
44: YEBO YEBO
45: MTU PESA
46: MZEE WA CHABO
47: PEDESHEE
48: HAKUNA MATATA
49: KILIO CHA MAMA
50: MIPANGO SIO MATUMIZI
51: ZIMA NGOMA
52: BACK FROM AMERICA
53: KIBOKO KABISA
54: MWIZI WA KUKU
55: VYUMBA VIMEJAA
56: PAKA MAPEPE
57: MUME BWEGE
58: KANJIBAI
59: CHOO CHA KIKE
KUUMWA KWAKE NA MATIBABU YAKE NCHINI INDIA
Mnamo tarehe 28 April 2018 Aliyekuwa waziri wa habari sanaa na michezo DK HARRISON MWAKYEMBE,
Alimtembelea majuto katika hospital ya muhimbili,Alipokuwa akipatiwa matibabu
Ndipo alipotangaza nia ya serikali kumgharamia matibabu yake kwa kumsafirisha INDIA kwa uangalizi zaidi kuhusu Afya yake.
Ambapo awali iliripotiwa alikuwa anasumbuliwa na Tezi dumFAHAMU KIDOGO kUHUSU ALIYEKUWA MWIGIZAJI NGULI KATIKA TASNIA YA FILAMU ZA VICHEKESHO NCHINI TANZANIA 🇹🇿
KING MAJUTO

Ambapo awali iliripotiwa alikuwa anasumbuliwa na Tezi dume,
Hivyo mnamo mei 1 akasafirishwa nchini INDIA
Alitibiwa nchini INDIA mpaka afya yake ikaimarika
Nakisha kurejea nchini🇹🇿
Akaanza kuendelea na kliniki yake aliyokuwa akipatiwa katika
Hospital ya Muhimbili.
Baadae aliripotiwa kuzidiwa
Hali hiyo ilipelekea kulazwa tena muhimbili
Katika wodi za wagonjwa mahututi(ICU)
NDIPO alipokutwa na mauti mnamo
Amefariki akiwa na umri wa miaka 70
1948-2018
Agost 8 2018
Ameacha watoto 10
Jina lake la sanaa
Alijulikana kwa jina la king majuto.
Alishawahi kushinda tuzo za
Mchekeshaji bora .
Hakika alikuwa ni kipaji cha kipekee
Watanzania tulichojaaliwa🇹🇿🇹🇿
Endelea kupumzika kwa Amani.
THE END