Habari Hope you are fine.....
Kutokana na kwamba tayari umeshafanya market na wateja tayari unao..., kitu kilichobaki ni koberesha bidhaa yako.., ifanye iwe bora na unique ili upate repeat costomers hakikisha na package ni nzuri na since bisi zinaendana na juice unaweza ukauza na juice as well nimecheki online nimeona recipes za popcorn kwahiyo unaweza ukatengeneza popcorn tofauti na kuzipa majina matamu mfano Delicious-Hus,
etc 🙂
angalia hapa hizi recipes they might help Popcorn recipes - Free and easy popcorn recipes collection
Dont forget another market segment, supermarket...., usiogope hata big guns kama Shoprite so long as ukiweka bar code na kama upo registered you can sell to them, if not hata hizi supermarkets za mitaani sio mbaya
ahsante VOR, ndio nataka kuanza ila kuhusu wateja kwa simple research niliyofanya naona haitasumbua.
Wazo la kuuza na juice ni zuri lakini sitoweza maana gharama tena itabidi ziongezeke.
gharama inaweza kuwa ndogo kwenye longrun lakini kwa sasa ukiongelea drinks hasa juice watu hawawezi kunywa za moto ina maana hapo tena kutafuta jokofu.
True if that the case..... then unaweza ukaanza really small kwenye popcorn pekee... lakini hakikisha unazipack vizuri na kuweka address yako na contacts na usidharau supermarket za mitaani go for selling wholesale...., hii itapunguza overheads.. na utakuwa na order za uhakika usisahau kuangalia hiyo link ya recipes..., am sure that will set you apart from the rest.
Ingia kichwa kichwa anza kidogo kidogo usiweke mtaji mkubwa utajua vizuri kuucheza muziki mambo yakianza ujasiriamali ni vitendo. Ukitaka kujua kuendesha baiskeli ipande ikudondoshe mwisho utajua kuiendesha. Dont procrastinate just do it.

Big up kwa ushauri nasaha ila kuna kitu bado hujatuweka wazi umetupa website ya spices 2nashukuru,je?vifaa vya kutengeza/kuprint contact zake ktk mifuko hiyo ya kuwekea bisi imekaaje au ataweka bisi kwenye mifuko ya Rambo.Habari Hope you are fine.....
Kutokana na kwamba tayari umeshafanya market na wateja tayari unao..., kitu kilichobaki ni koberesha bidhaa yako.., ifanye iwe bora na unique ili upate repeat costomers hakikisha na package ni nzuri na since bisi zinaendana na juice unaweza ukauza na juice as well nimecheki online nimeona recipes za popcorn kwahiyo unaweza ukatengeneza popcorn tofauti na kuzipa majina matamu mfano Delicious-Hus,
etc 🙂
angalia hapa hizi recipes they might help Popcorn recipes - Free and easy popcorn recipes collection
Dont forget another market segment, supermarket...., usiogope hata big guns kama Shoprite so long as ukiweka bar code na kama upo registered you can sell to them, if not hata hizi supermarkets za mitaani sio mbaya
Big up kwa ushauri nasaha ila kuna kitu bado hujatuweka wazi umetupa website ya spices 2nashukuru,je?vifaa vya kutengeza/kuprint contact zake ktk mifuko hiyo ya kuwekea bisi imekaaje au ataweka bisi kwenye mifuko ya Rambo.
Nimekuelewa na nashukuru Mkuu,kazi kwake na biashara yake ya bicNina uhakika Dar kuna kampuni za printing ambazo ukiwapelekea unachotaka wanaweza wakaprint kwenye mifuko...., more proffessional.., lakini sababu ni mwanzo hakuna sababu ya kuingia cost ambazo hazina maana sana..., anaweza akaprint contacts zake kwenye printer ya kawaida (kwenye secretarial services)..., alafu akachukua mifuko transparent (kama wanayouzia barafu, maji, karanga etc lakini mikubwa yake), baada ya hapo akakiweka hicho ki-karatasi ndani ya mfuko pamoja na bisi.
Umuhimu wa contacts ni kwamba potential customers mfano mtu akila bisi akazipenda anaweza aka-mcontact ili apate order zaidi..,
Ili upate ushauri mzuri ni vyema ukasema ni wapi unaplan kuweka biashara yako, biashara ya popcorn ni biashara inayolenga sehemu maalum na wakati mwingine inaendana na matukio, ukienda na popcorn zako uwanja wa taifa siku ya mechi ya yanga na simba si sawa na ikiwa siku ya Ivory cost na taifa stars. kitu kingine cha muhimu ni wale wauzaji, usije kuweka machangu wastaafu kama wale wa century cinemax mlimani city ambao kazi yao ni kuchekea wanaume tu na kuwa wakali kwa wadada na watoto.Usisahau kuweka maujanja mengine kama flava maana kwa Tz ukiacha caramel hakuna zaidi...
MKUU HUSNINYO, HII NI THINKING BIG,WAKATI IDEA YAKO NI AVERAGE THINKING YA SMALL BUSINESS OWNERS. Why be average-think big.