Mkuu G12 asante sana kinacho nichanganya hizo bei hatujui kama ni za juml ama reja reja maana nahitaji kama mbili hivz za bei ya kawaida harafu hizo bei ni kama za huko huko nje je kama nahitaji kununua on line inawezekana? Nifahamishe mkuu au nawezg kuzipata hapa hapa dar? Pamoja sana mkuu tusaidie nadhani tupo weng tunaohitaji asante.
Mkuu G12 asante sana mkuu nashukuru bei ni poa sana cha msing ni mikakati itakuwaje katika kuipata ila najua sioni kama itakuwa shida ngoja nioganizi na jamaa
hata mimi nataka nisaidie nitapata wapi hizi machine za kutengeneza popcorn?
Asante kunijibu kaka
samahani,mimi sio kaka.wewe ingia www.amazon.co.uk kwenye search,andika popcorn maker,bei utaziona mwenyewe.sitii faida ndio maana nimekwambia,ingia mwenyewe uone
mkuu hata picha huoni!!!!!kaka.
mkuu hata picha huoni!!!!!
View attachment 65685
Wadau bei hizi hapa:
1. Hiyo yenye picha na matairi: USD 234.
2. Mid-size haina matairi: USD 126.
3. Kubwa zaidi haina matairi: USD 903.
Hizo ni bei za rejareja, kama unataka nyingi nawezakupa bei ya jumla pia.
Serious buyers tuwasiliane. Picha cheki site (www.g12.hk) yetu utaona details zaidi.
nimeipenda hiyo ya mataili na niko tayari lakini nomba kujua mpaka kunifikia ni siku ngap na na itagarimu shng ngap. Asante sana mkuu tunaimani na kampuni
nimeipenda hiyo ya mataili na niko tayari lakini nomba kujua mpaka kunifikia ni siku ngap na na itagarimu shng ngap. Asante sana mkuu tunaimani na kampuni