Fahamu kuhusu Coaster yenye injini ya 12HT inayodumu kuliko nyingine

Fahamu kuhusu Coaster yenye injini ya 12HT inayodumu kuliko nyingine

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
358
Reaction score
675
Mteja wetu mmoja kauliza swali hilo,

12HT ni nzuri kwenye upande wa matumizi madogo ya mafuta ukilinganisha na 1HD-T au 1HZ-T.

Changamoto ya 12HT ni kuwa ni ya kizamani na hivyo kui-service ni changamoto kwa kuwa vifaa vyake vimeanza kupotea sokoni ikilinganishwa na hizi aina nyingine mbili ambazo zimeonekana kuwa za kisasa zaidi na zilizoongezewa nguvu zaidi.

Kwa dunia ya leo injini yenye Turbo ambayo huonekana kudumu zaidi ni aina ya 1HD-T kwa kua ni teknolojia ya kisasa zaidi ikilinganishwa na hizi nyingine lakini pia vifaa vyake vinapatika kwa wingi zaidi na hivyo kuihakikishia maisha marefu japo kwa upande mwingine huonekana kutumia mafuta zaidi ya hiyo 12HT.
 
Back
Top Bottom