Fahamu kuhusu Fluorosis, ugonjwa wa madoa kwenye meno pamoja na kutoboka

Fahamu kuhusu Fluorosis, ugonjwa wa madoa kwenye meno pamoja na kutoboka

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
fluorosis ni miongoni mwa magonjwa ya kutoboka na kupata madoa kwenye meno. Ugonjwa huu husababishwa na kiwango cha juu cha fluoride.

Moja ya nchi ambazo zinakubwa na Ugonjwa huu ni Tanzania, na meneo mengi yaliyo kubwa na Ugonjwa huu au yenye kiwango cha juu cha fluoride ni Maeneo ya mkoa wa Arusha, Simiyu, Singida, na maeneo madogo ya mkoa wa Tabora na Shinyanga

Kulingana na mamlaka, watu wanne kati ya kumi katika majiji na mikoa athirika wanaugua ugonjwa wa fluorosis ambao husababisha madoa ya kudumu na kutoboka kwa meno.

Fluoride hupatikana hasa katika maji na Meno yanayo sababishwa na fluoride hubadilika Rangi na kuwa naunjano.

Lakini mifupa ya ng'ombe inatumiwaje kupambana na sumu ya fluoride?
 
Hapo mwishoni sijui ndo sijaelewa mimi tu au
 
eti kalete mkojo wa kunguru au mayai ya bundi…...
 
Asante,Nafuatilia nijue hio tiba ya mifupa ya ngo'mbe
 
Back
Top Bottom