Fahamu Kuhusu Human Cloning

Fahamu Kuhusu Human Cloning

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
FAHAMU KUHUSU HUMAN CLONING

Neno "cloning" linamaana ya kwamba ni kile kitendo cha kutengeneza kiumbe kipya kupitia material ya kiumbe kingine ili kutafuta mfanano sawa katika mahabara•••

Clone ipo yaaina nyingi kama ya mimea na wanyama

"Human Cloning" ni kitendo cha kuchukua cell, Tishu na jenis
(DNA) ya MTU Fulani na kutengeneza MTU mwingine anae fanana na yule wa mwanzo kwa kila kitu kupitia mahabara
Human cloning ilianza miaka ya 1960 lakini baadaye umoja wa mataifa ulikataza kitendo hicho kibaya baada ya mwaka 1967 CIA kuaibishwa na bunge LA marekani kwa kufanya majaribio ya clone ya binadamu kwenye project ya MK_ULTRA ndipo mataifa mengine yote yalipoacha...

Lakini kuna vikundi kama illuminant/Freemason wao waliendelea kufanya kitendo hicho kwasili ili kutimiza lengo lao lakuja kuitawala dunia katika new word order
Ikawa wanafanya ivi endapo ikatokea MTU maarufu mwenye ushawishi mkubwa duniani ambae anapingana nao basi ilikuwa ana uwawa na kuchukuliwa cells na gene zake ili kutengeneza mtu mwingine (copy) anaefanana na yule walie muuwa..na huyo mpya ataendelea kufanya Yale aliye yafanya yule lakini akiwa chini ya mamlaka yao hao Freemason au mfano MTU wao muhimu akishakufa wanamfanyia clone ili aendelee kuishi.. katika hii ishu nikwamba wapo watu maarufu ikiwemo wanamziki ,wanasiasa,na waigizaji ambao tunawajua lakini sio halisi yaani namaanisha walishakufa kitambo lakini wakaweka siri juu ya vifo vyao na kutengeneza copy ya MTU mwingine kama yeye ambae ana ishi mpaka sasa... Hii hapa list ya watu maarufu ambao walikufa lakini waka fanyiwa clone waendelee kuishiii........

TUNAENDELEA...

HUMAN CLONING

⏩kama nilivyosema katika makala hapo juu kwamba kuna watu ambao nifeki hawapa sasa.

Moja ya watu ambao inasemekana walikuwa wamefanyiwa human cloning ni aliye kuwa Rais wa Africa kusini Nelson Mandela. Leo acha nimzungumzie mwingine ukiachana na Mandela na si mwingine ni👇

1➖ EMINEM
ukweli nikwamba huyu Eminem tunaemuona sasa sio halisi Eminem halisi alishakufaga tangu mwaka 2006 ambapo kama utakua na kumbukumbu mwaka huo ilitokea ishu ya Eminem kujioverdose na kunusulika kufa sasa ukweli nikwamba baada ya kujioverdose alifariki ila walifanya siri kifo chake kutokana na umuhimu wake na ushawishi wake mkubwa katika dunia..ivyo basi waka amua kumtengeneza Eminem feki ambae ndohuyu tunamuona kwakuthibitisha ilo unawesa kuona kua Eminem baada ya kupata mkasa huo na kupona alibadilika sana ata uimbaji wake pia alianza kuimba nyimbo za kishetani pia vilevile maana ya jina lake Eminem alilifafanua kama "Every mammals is nice except me"
Na marakadhaa amenukuliwa akisema "anafikilia kuhusu kifo chake kila anapoenda kulala"" pia katika ngoma zake nyingi amezungumza kua yeye sio binadamu wa kawaida mfano nyimbo ya Cinderella kuna sehemu anasema "send da fellenshady done me to wrap the game up in a cellophane raise hell from hell he come but didn't come to bore u with the Cinderella story nor did he come to do the same "
 
Hiyo cloning ya kawaida sana, kuna hiiinafanywa bongo na wachawi ambapo humchukua mtu kichawi na kumtoa kopi (clone) kisha ndugu huhangaika na clone huku wakijua ni mtu halisi ilihali wapo na kopi tu then hiyo copy itaumwa na kufariki na kuzikwa kumbe ndugu yao yupo usukuleni anawaona tu
 
Hakika uchawi ni advanced technology maana hii ipo sana.
Nisamehe ndugu mwandishi sijawahi amini katika hizi mambo au nahitaji ushahidi wa vitendo Yani LIVE🔴
Mfano mzuri ameutoa jay-millions je, napo huamini?
Twende polepole utapata mubashara kujua yote.
 
Hiyo cloning ya kawaida sana, kuna hiiinafanywa bongo na wachawi ambapo humchukua mtu kichawi na kumtoa kopi (clone) kisha ndugu huhangaika na clone huku wakijua ni mtu halisi ilihali wapo na kopi tu then hiyo copy itaumwa na kufariki na kuzikwa kumbe ndugu yao yupo usukuleni anawaona tu
Hapa ndipo ndugu au jamaa ataumwa magonjwa ya ajabu ajabu na hata kifo cha huyo mtu kinakuwa cha utata. Mimi imenitokea kwa mtu wangu wa Karibu, magonjwa ya ajabu ajabu hadi kifo kimekuwa cha utata,inauma sana
 
Haya mambo ni hatari, huwezi amini kuwa yapo duniani
 
FAHAMU KUHUSU HUMAN CLONING

Neno "cloning" linamaana ya kwamba ni kile kitendo cha kutengeneza kiumbe kipya kupitia material ya kiumbe kingine ili kutafuta mfanano sawa katika mahabara•••

Clone ipo yaaina nyingi kama ya mimea na wanyama

"Human Cloning" ni kitendo cha kuchukua cell, Tishu na jenis
(DNA) ya MTU Fulani na kutengeneza MTU mwingine anae fanana na yule wa mwanzo kwa kila kitu kupitia mahabara
Human cloning ilianza miaka ya 1960 lakini baadaye umoja wa mataifa ulikataza kitendo hicho kibaya baada ya mwaka 1967 CIA kuaibishwa na bunge LA marekani kwa kufanya majaribio ya clone ya binadamu kwenye project ya MK_ULTRA ndipo mataifa mengine yote yalipoacha...

Lakini kuna vikundi kama illuminant/Freemason wao waliendelea kufanya kitendo hicho kwasili ili kutimiza lengo lao lakuja kuitawala dunia katika new word order
Ikawa wanafanya ivi endapo ikatokea MTU maarufu mwenye ushawishi mkubwa duniani ambae anapingana nao basi ilikuwa ana uwawa na kuchukuliwa cells na gene zake ili kutengeneza mtu mwingine (copy) anaefanana na yule walie muuwa..na huyo mpya ataendelea kufanya Yale aliye yafanya yule lakini akiwa chini ya mamlaka yao hao Freemason au mfano MTU wao muhimu akishakufa wanamfanyia clone ili aendelee kuishi.. katika hii ishu nikwamba wapo watu maarufu ikiwemo wanamziki ,wanasiasa,na waigizaji ambao tunawajua lakini sio halisi yaani namaanisha walishakufa kitambo lakini wakaweka siri juu ya vifo vyao na kutengeneza copy ya MTU mwingine kama yeye ambae ana ishi mpaka sasa... Hii hapa list ya watu maarufu ambao walikufa lakini waka fanyiwa clone waendelee kuishiii........

TUNAENDELEA...

HUMAN CLONING

⏩kama nilivyosema katika makala hapo juu kwamba kuna watu ambao nifeki hawapa sasa.

Moja ya watu ambao inasemekana walikuwa wamefanyiwa human cloning ni aliye kuwa Rais wa Africa kusini Nelson Mandela. Leo acha nimzungumzie mwingine ukiachana na Mandela na si mwingine ni👇

1➖ EMINEM
ukweli nikwamba huyu Eminem tunaemuona sasa sio halisi Eminem halisi alishakufaga tangu mwaka 2006 ambapo kama utakua na kumbukumbu mwaka huo ilitokea ishu ya Eminem kujioverdose na kunusulika kufa sasa ukweli nikwamba baada ya kujioverdose alifariki ila walifanya siri kifo chake kutokana na umuhimu wake na ushawishi wake mkubwa katika dunia..ivyo basi waka amua kumtengeneza Eminem feki ambae ndohuyu tunamuona kwakuthibitisha ilo unawesa kuona kua Eminem baada ya kupata mkasa huo na kupona alibadilika sana ata uimbaji wake pia alianza kuimba nyimbo za kishetani pia vilevile maana ya jina lake Eminem alilifafanua kama "Every mammals is nice except me"
Na marakadhaa amenukuliwa akisema "anafikilia kuhusu kifo chake kila anapoenda kulala"" pia katika ngoma zake nyingi amezungumza kua yeye sio binadamu wa kawaida mfano nyimbo ya Cinderella kuna sehemu anasema "send da fellenshady done me to wrap the game up in a cellophane raise hell from hell he come but didn't come to bore u with the Cinderella story nor did he come to do the same "
Duuh hii noma
 
Kuna Mwana jf mmoja aliwahi Sema hata Diamond sio halisi, ni cloned, akasema angeleta chapisho lake. ILa sikumbuki anatuma ID gani.
Je, is Diamond cloned?
 
Japo sijamchunguza kwa karibu ila Huenda pakawa na ukweli maana kuna kipindi Mond alisema hana mtoto hata wa kusingiziwa na hapo kulikuwa na dalili kama masons wanataka kupita nae.

Lakini kati kilitokea kama kitu kuna mabadiliko na Diamondi alianza kuwa wa moto zaidi.

Pengine hili ngoja liwe somo tulifuatilie zaidi tubaini kipi ni kipi.
 
"ukweli nikwamba huyu Eminem tunaemuona sasa sio halisi Eminem halisi alishakufaga tangu mwaka 2006 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Afu MTOA MADA UKO SERIOUS KWELKWELI[emoji3]
Tena serious kabisa aisee dah
 
Back
Top Bottom