joackagrovet
Member
- Sep 11, 2024
- 9
- 9
FAHAMU KUHUSU KILIMO BORA CHA PILIPILI HOHO
Hapa nchini zao hili hulimwa katika mikoa ya Iringa, Tanga (Lushoto), Mbeya, Ruvuma, Tabora na Arusha.
Hoho hutumika katika kutengeneza rangi za asili za vyakula ambazo kwa sasa hupendwa zaidi kuliko zile zinazotokana na kemikali na pia huongeza ladha na harufu katika vyakula.
Hivyo hutumika katika viwanda vya kusindika vyakula, kwa mapishi ya nyumbani na hata katika viwanda vya vipodozi kama rangi ya mdomo, uso n.k. Ina virutubisho muhimu vinavyohitajika mwilini kama madini ya chuma, vitamin A na C.
Kwenye upandaji wa pilipili hoho, Mbegu huoteshwa na kukuzwa kitaluni kwa muda wa wiki 6-8 na miche hupandikizwa shambani ikiwa na urefu wa sm.6-10.
Panda shambani kwa nafasi ya sm.75-90 kati ya miche kwa sm.90-105 kati ya mistari, wastani wa miche 12,500 itapatikana kwa hekta.
Weka samadi shambani tani 25-37 kwa hekta wiki 1-2 kabla ya kupandikiza miche, au kilo 560-670 za NPK (mbolea ya viwandani) kwa hekta kwa uwiano wa 4:7:7 katika udongo usio na rutuba ya kutosha.
Matunda ya kwanza huwa tayari kuvunwa kuanzia miezi 2-3 baada ya kupandikizwa; matunda yaliyokomaa vizuri na kuwa na rangi nyekundu ndiyo huvunwa na mche mmoja huzaa Matunda 30-80.
Ubora wa hoho huongezeka kutegemeana na kiwango cha rangi yake ikiwa ni nyekundu njano au kijani.
Mazao kiasi cha tani 3.5 kwa hekta hupatikana. Baada ya kuvuna mwagilia maji, piga dawa (kama ni muhimu) na weka mbolea kuongeza uzalishaji unaofuata.
Hoho huuzwa ikiwa bado fresh tofauti na jamii nyingine za pilipili ambazo zinaweza kukaushwa na kusindikwa kasha kuuzwa baadae.
#kilimochahoho #kilimochapilipilihoho #hoho #pilipili #pilipilihoho #hohozanjano #hohonyekundu #hohozakijani #hohozakisasa #sokolapilipilihoho
Office zetu zipo @tegetawazohill - Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 714 636 375/(WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
kilimotz3@gmail.com
#joackcompany #joackvetcenter #mifugo #mifugotz #kilimo #kilimotz #tanzania #dodoma #daressalaam #morogoro #tanzania🇹🇿 #dukaladawazamifugo #madawayamifugo #mwanza #mbeya