Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐ ๐ธ๐๐ต๐๐๐ ๐บ๐ฎ๐ฏ๐ผ๐บ๐ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ๐๐ถ
Nazani umeshawahi kusikia sijui polisi wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya kikundi fulani Cha watu mahali fulani JE hayo mabomu ya machozi ni kitu gani ? kwa ufupi tu utajifunza Leo.
Mabomu ya kutoa machozi ni mabomu ambayo yenye mkusanyiko wa kemikali ambazo ufanya kazi ya kukera Neva za mwili na macho yako na kuanza kutoa machozi.
Kemikali hizo huweza kusababisha pua na macho kuwasha pamoja na kuvimba, mabomu yenye kemikali uhifadhiwa kwenye kopo na kupigwa juu baada ya hapo utokea ukungu na vumbi jembamba hewani wakati mtu anaangaika Sasa kuvuta pumzi, kemikali hiyo husababisha macho kuwasha na koo kupumua kwa shida.
Mara nyingi hutumiwq na polisi kwenye kutawanya umati wa watu mahali fulani ambao uwa wamesababisha vurugu, kuvunja maandamano au kutuliza ghasia.
Sio Bomu ambalo linarushwa kwa mkono hapana hutumia silaha maalum inaitwa anti Riots kwenye kufanya hiyo shughuli ni poda ambayo uunda ukungu wenye kukuletea madhara kwa Muda fulani.
Mabomu haya yaligunduliwa mwaka 1928 kwa mara ya Kwanza na wana SAYANSI toka nchini marekani.
Mabomu yake yamegawanyika sehemu kadhaa
1) 1-chloroacetophenone (CN) - hii usababisha muwasho wa macho , koo na ngozi ukivuta tu pumzi huisi macho yanavimba , kutokuona vizuri , kuwashwa kwa pua , koo ngozi na kupumua kwa tabu.
2) 2-chlorobenzylidene malononitrile (CS) -
3) Dibenz[b,f]-1,4-oxazepine (CR) alafu Kuna Moja inatumia maji ya pilipili hii sio mchezo macho yanawasha sio poa ni tofauti na CN, CS na CR.