Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Nafikiri hii ni mara ya kumi tunatoa hili some!
ni kweli bado tunahitaji mtu wa kuliweka sawa .
Ngoja niwachambulie kuhusu taa kuwaka na overdrive yenyewe:
Kuhusu taa:
Taaa yoyote inapowaka wakati engine iko on, humaanisha kuwa kuna hitilafu inabidi irekebishwe. Unapoweka switch on kwenye dashboard, taa mbali mbali huwaka na unapowasha gari, taa zote huzima. Mathalani taa ya airbag ikiwaka au ya betri ikiwaka au ya oili ikiwaka, au ya over drive ikiwaka, inaonesha kuwa eneo hilo linashida na inabidi ufanye kitu ili taa hiyo ijizime.
Kuhusu over drive:
Tuchukue mfumo wa gari ya manual ili kuelezea maana ya over drive. Gari za zamani za manual zilikuaw na gear mwisho nne, lakini kutokana na kukua kwa teknolojia, wakagundua mtoto wa gearbox ambaye uki mu engage, gari inahama kutoka kutumia gearbox ya kawaida kwenye gear namba nne, na kuanza kutumia mtoto wa gear box ambaye kwenye gari ya manula itakuwa gear namba tano hadi sita kwa baadhi ya magari lakini kwenye gari ya automatic unapotumia mtoto wa gearbox ina maana unatumia gear ya over drive!
Kwa hiyo ili engine izunguke kidogo kwenye speed kubwa na ili uweze kuokoa mafuta, kwa gari ya manual utatumia gear namba tano, na kwe gari ya auto utatumia over drive. Kwa hiyo unapozima gear ya over drive, inamaana unaacha kutumia mtoto wa gearbox na hivyo gari itatumia gear kubwa kubwa, na hilo husababisha engine kuzunguka sana na mafuta kwenda kwa wingi. Kwa kifupi unapoendesha gari, taa ya over drive inabidi iwe imezimika wakati wote isipokuwa kwa vipindi maalum ambapo gari itahitaji nguvu ya ziada kama vile kuovertake au kupandisha milima.
Over Drive OD if you turn it on the light will go off.... Kama upo katika mazingira ya kawaida sio highway, hakuna milima, you don't overtake, unaendesha kawaida inatakiwa kuwa taa inawaka ikiwa ina masha kuwa OD off
Taa kuwaka mara nyingi uhashiria kuna taadhari lakini kwa OD ni tofauti. Opposite
Kwanza sina gari mnanisumbua tu
Magari mengi taa ya OD inapaswa kuwaka Kama Ikimaanisha Over drive iko Off
Na iwe Imezima ikamaanisha OverDrive iko On.
Sasa nimegundua wengi wakiona taa inawaka huminya Button ili izime Kumbe ndio wameweka kwnye OD.
kwa maelezo yako OD inatumika kama namba Tano au namba sita katika magari Aoutmatic ... hivyo basi Taa ya OD inapaswa kuzimika wakati Gari iko kwenye speed kali na imemaliza gear zote Kubwa . ! .
Kwa maelezo yako haipaswi taa kuzimika Gari ikiwa kwenye law speed / Gear Kubwa . ! .
Mie nime kaa pembeni nawa cheki tuu, wenyewe magari ya mjomba, shangazi shemeji Haya timbwilikeni.
Magari mengi taa ya OD inapaswa kuwaka Kama Ikimaanisha Over drive iko Off
Na iwe Imezima ikamaanisha OverDrive iko On.
Sasa nimegundua wengi wakiona taa inawaka huminya Button ili izime Kumbe ndio wameweka kwnye OD.
Ngoja niwachambulie kuhusu taa kuwaka na overdrive yenyewe:
Kuhusu taa:
Taaa yoyote inapowaka wakati engine iko on, humaanisha kuwa kuna hitilafu inabidi irekebishwe. Unapoweka switch on kwenye dashboard, taa mbali mbali huwaka na unapowasha gari, taa zote huzima. Mathalani taa ya airbag ikiwaka au ya betri ikiwaka au ya oili ikiwaka, au ya over drive ikiwaka, inaonesha kuwa eneo hilo linashida na inabidi ufanye kitu ili taa hiyo ijizime.
Kuhusu over drive:
Tuchukue mfumo wa gari ya manual ili kuelezea maana ya over drive. Gari za zamani za manual zilikuaw na gear mwisho nne, lakini kutokana na kukua kwa teknolojia, wakagundua mtoto wa gearbox ambaye uki mu engage, gari inahama kutoka kutumia gearbox ya kawaida kwenye gear namba nne, na kuanza kutumia mtoto wa gear box ambaye kwenye gari ya manula itakuwa gear namba tano hadi sita kwa baadhi ya magari lakini kwenye gari ya automatic unapotumia mtoto wa gearbox ina maana unatumia gear ya over drive!
Kwa hiyo ili engine izunguke kidogo kwenye speed kubwa na ili uweze kuokoa mafuta, kwa gari ya manual utatumia gear namba tano, na kwe gari ya auto utatumia over drive. Kwa hiyo unapozima gear ya over drive, inamaana unaacha kutumia mtoto wa gearbox na hivyo gari itatumia gear kubwa kubwa, na hilo husababisha engine kuzunguka sana na mafuta kwenda kwa wingi. Kwa kifupi unapoendesha gari, taa ya over drive inabidi iwe imezimika wakati wote isipokuwa kwa vipindi maalum ambapo gari itahitaji nguvu ya ziada kama vile kuovertake au kupandisha milima.
Bado hujafafanua....mm nijuavyo ni kuwa od ikiwa off unaendesha hadi speed ya mwisho...yaani kana ni gear tano unamaliza zote. ...ila ikiwa on mwisho gear 3....sasa sijajua madhara ni nini hasa...labda mleta mada afafanue
Kuna tatizo humu JF la watu kujifanya mnajua hata vitu msivyojua. O/D kuwa ON ndivyo inavyotakiwa katika matumizi ya kawaida ya gari
Kuweka O/D OFF kinachofanyika ni kuwa gari inatumia gear 1, 2 na 3 tu haindi 4 na 5
Hiyo inatumika kama unapanda milima au umebeba mzigo mzito