Kawaida taa ya Over Drive ikiwa on gari huwa nyepesi sana na inatafuna sana mafuta...taa ikizima means Over Drive iko off na ndio normality yake....make sure km upo mjini au sehemu ambayo huhitaji kuendesha speed kali taa ya OD iko off ili ku-serve mafuta???
Wakuu sana, Mandela na namwakalima, na monomotapa, na Wabogojo,
Iko hivi, ili kuelewa vizuri somo la overdrive, nenda kwenye highway, ukiwa kwenye spidi, angalia dashboard yako, kama hakuna taa ya O/D OFF, maana yake, overdrive iko on. hapo gari inatumia mafuta kidogo na injini inakuwa nyepesi. Ukibonyeza button alafu taa ya O/D OFF ikiwa inawaka, utagundua gari inanguruma kwa nguvu sana na inaongeza spidi sana. Maana yake overdrive iko off na mzunguko wa injini unaongezeka maradufu. Hapo gari inatumia nguvu kubwa sana na mafuta kuliko kawaida.
Kwa lugha rahisi, taa ya OD OFF ikiwa inawaka, ni sawa na mwanariadha uwanjani akiwa anakimbia mbio ndefu alafu inapopigwa filimbi ya kumaliza mzunguko anaongeza spidi kiasi cha kumaliza nguvu zoooooooote alizo nazo mwilini. Just imagine anatumia calories kiasi gani.
Nafikiri umenipata
Magari ya Mtumba - either OD is ON or OFF the difference is the same!!!!!

OD is ON gari itatembea , na gear zote 1~5/6 while taa imezima ila ikiwa OD is OFF taa inawaka ila gari itatembea mpaka gear 1~4
kumbe kuna watu wanamagari halafu bado kuna vitu hawajui kazi zake
kumbe kuna watu wanamagari halafu bado kuna vitu hawajui kazi zake
Generally speaking, overdrive is the highest gear in the transmission. Overdrive allows the engine to operate at a lower RPM for a given road speed. This allows the vehicle to achieve better fuel efficiency, and often quieter operation on the highway. When it is switched on, an automatic transmission can shift into overdrive mode after a certain speed is reached (usually 70+ km/h [40-45 mph or more] depending on the load). When it is off, the automatic transmission shifting is limited to the lower gears. For an automatic transmission, it is almost always best to select overdrive and allow the transmission to control engagement of the overdrive. (It may be necessary to switch it off if the vehicle is being operated in a mountainous area, carrying a heavy load, or when the driver wishes to intentionally keep the engine running at higher RPM for quicker acceleration). With a manual transmission, overdrive should usually be selected when the average speed is above 70 km/h (40-45 mph).
Mi nikusifu kuwa angalau umejitahidi kujua kusoma na kuandika, swala la wewe kufanya ulinganisho wa hoja na mifano ni msiba wa karibia wanafunzi wote wa brn taratibu utaelewa kama ulivyojua kusoma na kuandikaWewe mbona unafigo na haujui kazi za figo
Wewe mbona unafigo na haujui kazi za figo
Hebu tulia na usome kwa makini.
Katika hali ya kawaida OD IS ON na gari inatakiwa iendeshwe hivyo(isipokuwa kwenye situation fulani)ndio maana hakuna warning light.
OD ni nini? OD inasaidia gearbox Ku over ride engine maana yake ni kuwa gari Ina engage next gear bila rpm kufika maximum na hii inasaidia kuokoa mafuta. Mfano unaweza kuendesha gari 50kph na ikafika hadi gear namba tano.
Ukizima OD yaani OD OFF umeondoa uuwezo wa gearbox Ku over ride engine kwahio gear haita engage next one mpaka maximum rpm na hoi inakupa more power hence consume more fuel. Ukiweka OD OFF unaweza kupush gear namba mbili tu hadi 60kph wakati OD ON gari st 60kph inakuwa gear namba tano na rpm Kama 1500 hivi.
Kifupi unatakiwa uendeshe gari ikiwa OD ON tu na endesha gari OD OFF kwa waksati maalum mfano Ku overtake au kupanda mlima mkali au drag race.