Fahamu kuhusu Mimba Zabibu 'Molar Pregnancy'

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Mimba zabibu 'Molar Pregnancy' inaweza kusababisha matatizo makubwa, ikiwemo mabadiliko mabaya yanayokaribia kuwa saratani (malignant change).

Wagonjwa wote lazima wafuatiliwe kwa muda mrefu ili kuhakikisha kushuka kwa homoni ya ujauzito (HCG) ambayo inaendelea kuonesha uwepo wa ujauzito kupitia mkojo baada ya mimba zabibu kutolewa.

Hali ya mkojo kuendelea kuonesha uwepo wa ujauzito kunaweza kuhitajia kuanzisha matibabu ya saratani (chemotherapy).

Mimba Zabibu hufahamika kama "Hydatidiform mole" ni mimba ambazo mbegu za kiume hurutubisha yai lisilo na vinasaba.


Zungumza nasi, ushauri ni BURE: WhatsApp link occdoctors


 
DUUUH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…