Fahamu kuhusu ndumba za uchawi na namna ya kupingana nazo

Kimsingi wew uliyeleta mada ni Mganga wa kienyeji na ni mchawi vile vile hakuna cha DR. Wala nini wewe nae ni mchawi sana huwa mnawatisha watu na post zenu ngumu na zenye maneno makali na badae mnajifanya kutoa solution za uongo....
Mm nataka Critical thinkers wawaze jambo hili......
Nywele za Saluni na kambo yanayoelezwa hapo yanauhusiano gani na matatizo ya mtu....
Hawa ni waganga na ni watumishi wa shetani

Pia huwa wanaandika namba zao wakijua kuwa watu wanamatatizo watawatafuta tuu...ndio maana mmeona ameanza na namba za simu na kusema eti watu wanamuuliza maswali ni uongo na usaniii.....
 
Tafsiri plz
Kwa upande wangu hizo ndumba wala hazinitishi, kwa kuwa mimi namuamini Mwenyezi Mungu, ambae ni Allah. Kwahiyo nikija kwenye tafsiri nasema hivi:-

Mwenyezi Mungu pekee (Allah) ananitosheleza, kwa kuwa hakuna apasae kuabudiwa kwa haki ispokuwa yeye Mwenyezi Mungu (Allah), kwahiyo kwa upande wangu yeye Allah ndie ninaemtegemea, na yeye Allah ndie ninaemwamini, ambae yeye Allah ni mweza wa kila jambo, na uwezo wake ni wa hali ya juu
 
Mimi nina miaka mingi natafuta pesa napata kidogo kidogo, na kama huna pesa hata kama una busara unadharaulika,

sasa sitaki tena huo upuuzi, nioneshe tu wanapouza
Ulozi na uchawi, ili na mimi nimiliki huo, najua tutaheshimiana tu
 
Miti mingi ya kisukuma umeificha majina harisi kwa lengo maalumu mfano mti uitwao mbundeka umeandika mputika pia ukweli haukuleta huu uzi kwa ajili ya kuwafundisha watu. Watu tumekaa na babu zetu tuna vitu adimu tu lkn pamoja na yote hakuna maisha ya amani kama kumcha mungu.
 
Ndg yangu kama una dawa ya kugandisha mwanga au jini au awe kichaa kabisa awe anaongea njiani huku akisema anaomba msamaha hata loga tena. Maana kuna mama mmoja hapa jirani kila ucku anakuja kuzunguka nyumba yetu na tunamwona. Amejaribu Mara kibao lkn anashindwa sasa nimeona apewe fundisho. Yy anatafuta pesa aloge watu wkt wengine tunatafuta tujikwamue katika lindi la umaskini. Huyu mama hana akili kabisa. Hizo dawa nitazioataje?
 
Paliponichosha ni kumkausha kuku bila kumchinja hivi mbingu itafunguliwa kweli kwa mtu mwenye roho ngumu kiasi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…