Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habari za asubuhi wanajamvi,
Nimeona services nyingi mtandaoni na nikavutiwa na jinsi mambo yanavyokwenda kasi. Kuna concept mpya imeingia (actually sio mpya sana) ambayo inaitwa SIM hosting. Yaani, unaweza ukaipa kampuni fulani SIM card yako, wakaihifadhi kwenye server zao. Baada ya malipo na setup, ukaweza kucontrol hiyo SIM card kutumia software - remotely.
Hii nimeona inasaidia sana kwa upande wa biashara, kwa wale ambao wana wateja wengi na wanataka kuwasiliana nao mara kwa mara, kuwapa notifications baada ya kufanya manunuzi (ereceipt) kuwapa habari na sales news nk. Kwa mtazamo wangu hii inaonekana kuwa nafuu kuliko bulk SMS (ambako message moja ni sh 25, sasa ukitaka kutuma messages 1000 mara 3 kwa mwezi, hiyo ni hela ya pango la biashara kabisa) mtu akiweza kutumia SMS bundle za voda za 2000 kwa messages elfu 5, inakuwa cost effective. Pia ikizingatiwa kuwa message husomwa sana kuliko email.
Sasa nisiseme mengi, najua concept imeeleweka. nilitaka kujua kama kuna provider kama huyu hapa Bongo. Mfano wa watu wanaofanya hichi kitu ni Hyoer SMS (SIM Server - Sim Gateway Solution | Hypermedia Systems) na World Text (SIM Card Hosting)
Siku njema.