Fahamu kuhusu ua dogo jekundu (Poppy) linalovaliwa na timu mbalimbali EPL

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Kila inapofika mwezi Novemba ya kila mwaka, nchini Uingereza kuna maadhimisho ya kuwakumbuka wale wote (mashujaa) waliojitolea maisha yao kwaajili ya Nchi yao katika vita mbalimbali kuanzia vita ya kwanza ya Dunia mpaka leo. Maadhimisho hayo huanza tarehe 1 Novemba na kufikia kilele chake tarehe 11 Novemba ambapo hujulikana kama Remembarence Day.

Katika kuadhimisha huko, wakazi wa nchi hiyo huvaa ua dogo jekundu lijulikanalo kama poppy, huvaliwa kwenye suti, t-shirts, magauni na hata jezi za wachezaji.










 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…