LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Limbwata ni uchawi wa mapenzi unao tumika sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki. Lengo la uchawi huu ni kumpumbaza mwanaume na kumfanya asiseme chochote kwa mwanamke aliye mfanyia uchawi huu. Kwa mujibu wa maelezo ya Sangoma mmoja mkazi wa Mkata, Handeni, Tanga. Nguvu ya uchawi wa limbwata ni kubwa mara mia ya nguvu ya uchawi mwingine wa mapenzi uitwao SHUNTAMA ( Ukaege ) unaotumiwa na Bukobian women (Wahaya).
Katika uchawi huu, mwanamke huchukua kipande cha nyama ya n'gombe, mbuzi,kuku au bata na kukiweka kwenye tupu yake ya mbele kwa muda wa siku saba.
Baada ya siku saba kukamilika, mwanamke huyo atakitoa kipande hicho cha nyama na kuchanganya na nyama nyingine ya kawaida pamoja na dawa maalumu ya kichawi na kupika kitoweo hicho kisha kumpa mwanaume ale. Mwanaume akisha kula chakula hicho, tayari anakuwa amesha shikwa na uchawi huo. Mwanaume huyu atampenda mwanamke huyo katika siku zote za maisha yake na atafanya kitu chochote kile ambacho mwanamke huyo atamtaka kukifanya. ( HER WISHWILL BE HIS COMMAND ). Wanaume wengi wameharibu maisha ya familia zao kwa sababu ya uchawi huu.
Nilitaka kujua kwanini NYAMA HUWEKWA KWENYE PAPUCHI na sio sehemu nyingine yoyote ya mwili ..
JIBU : Walatini wana msemo wao mmoja unasema " QUICI QUIDI VAGINA, SOLOSOLO CEDIT " wakimaanisha " WHATEVER IS ATTACHED TO THE VAGINA, IT BECOMES A PART OF IT " Ama " CHOCHOTE KINACHOUNGANISHWA NA PAPUCHI KINAKUWA SEHEMU YA PAPUCHI " kwa maana nyingine kinakuwa " PAPUCHI KABISA "
Nini maana ya kuwa PAPUCHI ? Kuwa papuchi maana yake ni kuwa mtu usiye julikana upo upande gani .. Unajua papuchi haijulikani iko upande gani. Kwa sababu mwanamke akisimama, inakaa mbele, akiinama inaelekea nyuma na akichuchumaa inarudi chini . Na anaye weza kuamua papuchi ikae upande gani ni mwanamke mwenyewe, akitaka ikae mbele atasimama, akitaka irudi nyuma atainama na akitaka iende chini atachuchumaa.
So mwanaume aliye lishwa limbwata anakuwa amefanyika kuwa papuchi ya mwanamke aliye mlisha. Kwa maana nyingine basi huyu mwanamke ndie atakaye amua ni kitu gani huyu mwanaume anatakiwa kukifanya, kwa namna gani na kwa wakati gani
Hii ndio mantinki ya limbwata kupitishiwa kwenye papuchi ya mwanamke….
NEXT TIME NITAZUNGUMZA KUHUSU "UCHAWI WA SINDANO KATIKA MAPENZI ". Huu ndio uchawi wenye nguvu kuliko uchawi mwingine wowote ule katika mapenzi. Ukifanyiwauchawi wa SINDANO katika mapenzi wafwa! Stay Tuned Ufahamu kuhusu UCHAWI WA SINDANO.
Najua unafahamu kwanini ukienda kununua sindano usiku hauuziwi..