Kule kwetu Tanga kila baada ya nyumba 3 ya 4 lazima umkute mwanaume aliyelishwa limbwata.
Tick Tick mom.....hii ni hatwari!!
Congratulation
Siku 7 ndo inaiva ama manake najua nyama ikikaa bila kuhifadhiwa kwenye chumvi inaharibika...
Teh teh.........yaani baadhi ya wanawake wakipata bwana mwenye pesa wanakwambia wamepata kazi.Lazima ashughulike nayo
Na ndoa zao zikoje.....?
Wanasema ukistaajabi ya musa......
Kwa kweli ndoa zao mara nyingi hazidumu kwani huendeshwa na mkwe upande wa mke maana wao ndio hushawishi mabinti zao kuwawekea dawa za kuwashika waume zao.
:faint2:
LIKUD hapo kwenye kilatin turudishie chenchi.....inatakiwa iwe "Quae iuncta vagina, pars fiat".......
Hapo ndoa haiwezi kudumu....kama inaendeshwa na mama mkwe.......hatari kweli...Kwa kweli ndoa zao mara nyingi hazidumu kwani huendeshwa na mkwe upande wa mke maana wao ndio hushawishi mabinti zao kuwawekea dawa za kuwashika waume zao.
:faint2:
inasikitisha sana! sasa kwa akina kaka hasa mliooa, jitahidini kuwa waaminifu kwa wake zenu maana mnaweza kwenda huko nje mkidhani ni kuhit na kurun kumbe huyo nyumba ndogo anakufanyia mambo hayo ya uchawi unaishia kuja kutelekeza familia yako...mjue kabisa wanawake wengine hawachezewi jamani...ila kiukweli inatisha na kusikitisha sana..ee Yarabi tunusuru!